Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mungu wabariki Wamasai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa idadi ya hao wamasai kule Zanzibar ni Majimbo matatuView attachment 3060342
Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo:
1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan
2. Kumbe wakazi wa Ngorongoro wala hawahami kwa hiari isipokuwa kinachofanyika ni "forced eviction". Inashangaza sana tendo hili kufanywa na serikali hii kana kwamba ni serikali ya kikoloni!
3. Kati ya wakazi wa Ngorongoro 100,000+, inasemekana ni wakazi wasiozidi 7,500 pekee ndio walishahamia huko Msomera - Handeni - Tanga kwa kulazimishwa na ushawishi wa vipesa kidogo huku propaganda za CCM na serikali yao wakidai wamehama wenyewe kwa hiari!
4. Hitimisho la unyama, unyanyasi huu unaofanywa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM yake kwa wamasai hawa, ni kuwanyima wakazi wa Ngorongoro zaidi ya 100,000 haki yao ya kupiga kura mwaka huu 2024 (serikali za mitaa) na 2025 (uchaguzi mkuu wa madiwani, Wabunge na Rais) kwa kuondoa vituo vyote vya uandikishaji wapiga kura na kupigia kura hizo pia. Wanauliza Rais Samia Suluhu Hassan, serikali na CCM wawaambie wao ni raia wa nchi gani Ili waende huko maana Kuna wakati walisema Wamasai kwao ni Sudan.🤔🤔
5. Lakini cha ajabu na kwa namna serikali hii inavyojichanganya yenyewe, inadai kuwa hakuna wakazi Ngorongoro, walishahamia Msomera - Handeni - Tanga (zaidi ya 500km toka Ngorongoro). Lakini cha kushangaza maafisa wa Rais Samia Suluhu Hassan na CCM watoza ushuru/kodi kila siku kiguu na njia Ngorongoro kudai Kodi na ushuru kwa Wamasai hawahawa wanaodaiwa wako Tanga, Msomera Handeni!
6. Jambo jingine la kusikitisha kabisa ni kuwa, serikali inakusanya Kodi kwa watu hawa lakini haipeleki na imewanyima huduma za kijamii kama afya, elimu, barabara nk kwa watu hawa. Hii ni homicide inayofanywa na serikali na ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu usiopaswa kuvumiliwa hata kidogo na dunia!
Rais Samia Suluhu Hassan na CCM, hii sio sawa hata kidogo. Mungu hapendi na hataki matendo haya. Acheni mara moja vinginevyo hukumu ya Mungu iliyo mbaya kabisa Iko juu yenu.
Rais Samia Suluhu Hassan hebu atoke aseme ana ajenda gani dhidi ya Wamasai na Watanganyika kwa ujumla? Ni maendeleo gani ya kunyanyasa na kutweza utu wa watu?
HII HAIKUBALIKI HATA KIDOGO!!!
Pia soma: Kuelekea 2025 - Njama: Vituo vyote vya kupigia kura Jimbo la Ngorongoro vimefutwa, ila watu bado wapo na Jimbo bado lipo
ChoiceVariable hii ya Ngorongoro itazaa na nyie na waarabu wenu.View attachment 3060342

Mimi ni mtu mwenye akili nyingi kwahiyo siwezi kubishana na wewe kilaza.Jibu hoja acha kurukaruka
Weka hoja niendelee kusoma nijifunze zaidiMimi ni mtu mwenye akili nyingi kwahiyo siwezi kubishana na wewe kilaza.
Kwanini wahamishwe kwa nguvu?Watapigia kura waipohamishiwa
w
Si walinunuliwa kwa kupenda cha juu? Au ulisikia kuna sauti ya kiongozi wa kisiasa kuwambia wahame kama ilivyo ngorongoro?Hivi wazaramo wangekataa kuachia mitaa ya posta, kariakoo, magomeni, hii Dar tunayoijua ingekuwepo?
Hivi mbunge wa huko ni nani. Na yeye alisha hamia Handeni?View attachment 3060342
Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo:
1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan
2. Kumbe wakazi wa Ngorongoro wala hawahami kwa hiari isipokuwa kinachofanyika ni "forced eviction". Inashangaza sana tendo hili kufanywa na serikali hii kana kwamba ni serikali ya kikoloni!
3. Kati ya wakazi wa Ngorongoro 100,000+, inasemekana ni wakazi wasiozidi 7,500 pekee ndio walishahamia huko Msomera - Handeni - Tanga kwa kulazimishwa na ushawishi wa vipesa kidogo huku propaganda za CCM na serikali yao wakidai wamehama wenyewe kwa hiari!
4. Hitimisho la unyama, unyanyasi huu unaofanywa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM yake kwa wamasai hawa, ni kuwanyima wakazi wa Ngorongoro zaidi ya 100,000 haki yao ya kupiga kura mwaka huu 2024 (serikali za mitaa) na 2025 (uchaguzi mkuu wa madiwani, Wabunge na Rais) kwa kuondoa vituo vyote vya uandikishaji wapiga kura na kupigia kura hizo pia. Wanauliza Rais Samia Suluhu Hassan, serikali na CCM wawaambie wao ni raia wa nchi gani Ili waende huko maana Kuna wakati walisema Wamasai kwao ni Sudan.🤔🤔
5. Lakini cha ajabu na kwa namna serikali hii inavyojichanganya yenyewe, inadai kuwa hakuna wakazi Ngorongoro, walishahamia Msomera - Handeni - Tanga (zaidi ya 500km toka Ngorongoro). Lakini cha kushangaza maafisa wa Rais Samia Suluhu Hassan na CCM watoza ushuru/kodi kila siku kiguu na njia Ngorongoro kudai Kodi na ushuru kwa Wamasai hawahawa wanaodaiwa wako Tanga, Msomera Handeni!
6. Jambo jingine la kusikitisha kabisa ni kuwa, serikali inakusanya Kodi kwa watu hawa lakini haipeleki na imewanyima huduma za kijamii kama afya, elimu, barabara nk kwa watu hawa. Hii ni homicide inayofanywa na serikali na ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu usiopaswa kuvumiliwa hata kidogo na dunia!
Rais Samia Suluhu Hassan na CCM, hii sio sawa hata kidogo. Mungu hapendi na hataki matendo haya. Acheni mara moja vinginevyo hukumu ya Mungu iliyo mbaya kabisa Iko juu yenu.
Rais Samia Suluhu Hassan hebu atoke aseme ana ajenda gani dhidi ya Wamasai na Watanganyika kwa ujumla? Ni maendeleo gani ya kunyanyasa na kutweza utu wa watu?
HII HAIKUBALIKI HATA KIDOGO!!!
Pia soma: Kuelekea 2025 - Njama: Vituo vyote vya kupigia kura Jimbo la Ngorongoro vimefutwa, ila watu bado wapo na Jimbo bado lipo
Haiko hivi, na haikuwa hivi inavyofanyika Ngorongoro na ktk jamii ya kimasai yoteHivi wazaramo wangekataa kuachia mitaa ya posta, kariakoo, magomeni, hii Dar tunayoijua ingekuwepo?
Hawakufukuzwa na serikali waliuzwa maeneo yao wao wenyewe wambotee. Halafu ukiangalia wamasai ndiyo wanaipa hadhi hifadhi. Maana ukiangalia Tanzania ndiyo tuna hifadhi ambayo ipo katika its most natural state. Kumaanisha binadamu na wanyama wanaishi kwa pamoja. Wakija kutembelea hifadhi ya wanyama tu hifadhi itakuwa sawa sawa na zoo za Ulaya. Utalii wa utamaduni na kujifunza watu wanaishije kati kati ya Simba, Chui na wanyama wakali ni mkubwa sana. Morroco hawana maliasili lakini utalii wao mkubwa ni wa utamaduni kama (Architecture) ya miji yao na Chakula chao.Hivi wazaramo wangekataa kuachia mitaa ya posta, kariakoo, magomeni, hii Dar tunayoijua ingekuwepo?
Anaitwa Kaika Saning'o Telele kwa tiketi ya CCMHivi mbunge wa huko ni nani. Na yeye alisha hamia Handeni?
Hii ni kamba shingoni mwa CCM, sijui wataiondoa vipi isiwadhuru!
Pamoja na kujaribu kuwatetea wananchi wake bila ya mafanikio, halafu naye aendelee kuwa mnufaika wa chama kinacho kandamiza watu wake; hili linamwondolea sifa ya kuwa mtu makini.Anaitwa Kaika Saning'o Telele kwa tiketi ya CCM
Yupo Ngorongoro, hajahamia Msomera - Handeni labda amehama leo asubuhi..!
Ameshajaribu mara kibao kuwatetea nduguze lakini ameshakumbana na joto ya jiwe ikiwemo kuswekwa ndani mara kibao na bila shaka ameshaamua kuungana na CCM, Yuko kimyaaaa...
kodi gani hiyo wakati wanapewa kula na huduma nyingine bure mule ndani ngorongoro? Hebu wacha kutuongopea hapa. Na kule ndani waliambiwa tangu enzi na jadi wasiendeleze maeneo kama sharti la kuishi mule. Sasa imekuwa n'gombe na mbuzi ni wengi kuliko hao wanyama pori watu wanaolipia kwenda kuwaona.6. Jambo jingine la kusikitisha kabisa ni kuwa, serikali inakusanya kodi kwa watu hawa lakini ime - suspend kutoa au kuboresha huduma zote za kijamii kama afya, elimu, barabara, umeme, mawasiliano nk kwa watu hawa.
Ama kweli wewe ni bitimkongwe!!kodi gani hiyo wakati wanapewa kula na huduma nyingine bure mule ndani ngorongoro? Hebu wacha kutuongopea hapa. Na kule ndani waliambiwa tangu enzi na jadi wasiendeleze maeneo kama sharti la kuishi mule. Sasa imekuwa n'gombe na mbuzi ni wengi kuliko hao wanyama pori watu wanaolipia kwenda kuwaona.
Mimi ni mtu mwenye akili nyingi kwahiyo siwezi kubishana na wewe kilaza.
Umemjibu vizuri sana huyu GoldDhahabu mazingira ya sasa haya support maisha ya zamani.Wewe!!
Hilo la watu kushambuliwa na wanyama wakali ushahidi upo.
Hilo la Watu na wanyama kuishi pamoja kweli ni kivutio,lakini wingi wa watu,mifugo Yao na maendeleo Yao sio rafiki Tena kwa Hifadhi!
Nchi inatawaliwa kiMafia. Usingae wasiojulikana aka TISS wataingia kuteka watu hapo.View attachment 3060342
Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo:
1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu?
2. Kumbe wakazi wa Ngorongoro wala hawahami kwa hiari isipokuwa kinachofanyika ni "forced eviction". Inashangaza sana tendo hili kufanywa na serikali hii kana kwamba tunatawaliwa na serikali ya kikoloni!
3. Kati ya wakazi wa Ngorongoro 100,000+, inasemekana ni wakazi wasiozidi 7,500 pekee ndio walishahamia huko Msomera - Handeni - Tanga kwa kulazimishwa na ushawishi wa vipesa kidogo. Lakini propaganda za CCM na serikali yao wanadai wamehama wenyewe kwa hiari!
4. Hitimisho la unyama, unyanyasaji huu ni serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kuwanyima wakazi wa Ngorongoro zaidi ya 100,000 haki yao ya kupiga kura mwaka huu 2024 (serikali za mitaa) na 2025 (uchaguzi mkuu wa madiwani, Wabunge na Rais) kwa kuondoa vituo vyote vya uandikishaji wapiga kura na kupigia kura.
Wanauliza Rais Samia Suluhu Hassan, serikali na CCM wawaambie wao ni raia wa nchi gani Ili waende huko maana kuna wakati walisema Wamasai kwao ni Sudan.🤔🤔
5. Lakini cha ajabu na kwa namna serikali hii inavyojichanganya yenyewe, inadai kuwa hakuna wakazi Ngorongoro, walishahamia Msomera - Handeni - Tanga (zaidi ya 540km toka Ngorongoro).
Lakini cha ajabu ni kuwa, maafisa wa kodi na ushuru wa serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM, kila siku ni kiguu na njia ktk maeneo mbalimbali ya Ngorongoro kudai Kodi na ushuru kwa Wamasai hawahawa wanaodaiwa walishahamia Tanga, Msomera Handeni!
6. Jambo jingine la kusikitisha kabisa ni kuwa, serikali inakusanya kodi kwa watu hawa lakini ime - suspend kutoa au kuboresha huduma zote za kijamii kama afya, elimu, barabara, umeme, mawasiliano nk kwa watu hawa.
Hii ni homicide inayofanywa na serikali dhidi ya raia wake. Hii ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu usiopaswa kuvumiliwa hata kidogo na dunia!
Rais Samia Suluhu Hassan na CCM, hii sio sawa hata kidogo.
Mungu hapendi na hataki matendo haya asilani. Acheni mara moja vinginevyo hukumu ya Mungu iliyo mbaya kabisa iko juu yenu.
Rais Samia Suluhu Hassan hebu atoke aseme ana ajenda gani dhidi ya Wamasai na Watanganyika kwa ujumla? Ni maendeleo gani ya kunyanyasa na kutweza utu wa watu? Kama haya ndiyo maendeleobyanayoletwa kwa njia hii ya kishetani, hatuyataki na vyema akayapeleka Zanzibar kwao!!
HII HAIKUBALIKI HATA KIDOGO!!!
Pia soma: Kuelekea 2025 - Njama: Vituo vyote vya kupigia kura Jimbo la Ngorongoro vimefutwa, ila watu bado wapo na Jimbo bado lipo
wewe payuka ukimaliza nakwambia wanapewa huduma bure wale wanaoishi ngorongoro, nimeshafika mara kadhaa, sijui kama wewe mwenzangu umewahi kufikaAma kweli wewe ni bitimkongwe!!
Umeitazama na kusikiliza wazungumzaji ktk video hiyo au umetoka usingizini na kuukuta Uzi uko page ya 2 na 3 na wewe kukurupuka kuandika tu bila kujipa nafasi ya kujua chanzo cha mjadala?
Na unaishi wapi wewe? Masaki DSM siyo? Unajua Ngorongoro au Liliondo Iko wapi?
By the way, umeitazama na kusikiliza hiyo video ya Wamasai wahusika wenyewe wakizungumza?
Kuna hata mmoja amesema wanalishwa bure na CCM? Wanapewa elimu au huduma za afya bure?
Si unawaona kwa macho yako na kuwasikia kabisa kwa masikio yako kabisa wakisema kuwa kila siku "watoza ushuru" wa Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wanakuja kukusanya Kodi na ushuru kwenye minada na magulio yao?
Uongo wangu uko wapi?
Kila mtu atashangaa mno iwapo kweli serikali ya CCM inaweza kuwalisha na kuwapa watu fulani huduma bure ikiwa kila sehemu wanaiba!!
hawakulazimishwa ila nature iliamua! tulinunuana wenyewe kwa wenyewe! ngorongoro unatimuliwaHivi wazaramo wangekataa kuachia mitaa ya posta, kariakoo, magomeni, hii Dar tunayoijua ingekuwepo?