nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
InashangazaWote wageni
Inasemekana Wamasai hao haiwataki jamii ya wasukuma tu, wageni wengine wanaruhusiwa kuishi maeneo hayo.Serikali hii bila kujitetea mwenyewe usitegemee itakutetea ww mtanganyika. Ila angekua mzenji angetetewa tu.
Kazi ni kipimo cha utu
Sio rahisi mkuu...Wasukuma nao wafanye jino kwa jino
Msukuma na mmasai hawajawahi kuwa marafiki hata siku moja.Inasemekana Jamii ya Wamasai wanaopatikana ndani ya vijiji vya Mombo mkoani Tanga hawataki jamii ya wasukuma katika vijiji hivyo...
Inasemekana wametoa hongo ili viongozi wa serikali waunge mkono nia hiyo dhidi ya wasukuma wanaopatikana katika vijiji hivyo...
Inasemekana jamii ya Wamasai haiwataki wasukuma katika vijiji hivyo kwasababu wasukuma sio rahisi kuwalishia mazao yao na wakakaa kimya...
Hivyo wasukuma wamekuwa tishio kwa Wamasai wanaoishi kwa kulisha mifugo yao kwenye mazao ya wenyeji wa maeneo hayo...
Swali langu, sheria zetu zinasemaje kuhusu jambo hili?
Viongozi wa serikali mkoa wa Tanga mna taarifa hii?
Swali kwa Jamii ya masai, mamlaka ya kutimua jamii zingine kwenye mikoa isiyo ya asili yenu munatoa wapi?
My take: Viongozi wa mkoa wa Tanga hakikisheni haki za raia hao wa Tanzania zinalindwa kwa namna yeyote...
Na hata ikitokea wamerudi makwao, basi hakikisheni wanapata haki zao maana wengine walikua wamenunua mashamba na viwanja katika maeneo hayo.
Ndio maana hapo mwisho nimeandika...Msukuma na mmasai hawajawahi kuwa marafiki hata siku moja.
Hakuna vita mbaya kama ya msukuma na mmasai.
I'm talking from my experience kwa kuona, kushiriki na kuishi
Nafasi ipo...Msukuma nakuona umeandika kwa hisia kali sana. Kama umekosa nafasi hapo si urudi kwenu shinyanga ukachimbe madini!
Ndo ivo..wasukuma na tanga tena dah..!!
Sure mwamba.kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Inasemekana mazao ya wenyeji hulishwa na hawafanyi chochote jambo ambalo maasai wanalipenda...Kwa hiyo watanga wenzangu kulisha mazao yao ni sawa tu
Inasikitisha mkuu.Sijajua hao wamasai walijulia wapi kutoa rushwa nene kwa wenye mamlaka ili kusukuma mambo yao!