Wamasai wanatimua jamii ya wasukuma katika baadhi ya vijiji Mombo mkoani Tanga

Washenzi hao hawawezi wasukuma wanajihangaisha tu mm nawajua ndugu zangu lazima watakuja na comeback moja matata
 
Sikiliza hii 👇
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/reel/908270422149133
 
hii taarifa itoe facebook na twiter itarahisisha kuwafikia wahusika pia kuna mtu face book anatoaga matangazo huwa anafatiliwa na watu wengi ( matangazo ya watu walopotea au chochote) mcheki swala likijulikana kitaifa viongozi watajua watalifanyia kazi lakini kam wamekusudia basi nasisi tutafukuza huku malinyi )
 
Hakuna watu wanao jua kutoa rushwa kama maasai, Hao pipo nguvu Yao ipo kwenye pesa ndiomana ni mara chache Sana kumkuta maasai kufungwa kwa makosa madogo madogo, kwanza hawataki kuingia kwenye kadhia yoyote kwakuwa mahakamani hawatoki, yaani life Lao wapo kama wahamiaji jamii Yao, sasa asili ya msukuma mkulima, mfugaji, mchawi ndani yake anatoka mang'ati hiki kiumbe na maasai hawapatani mang'ati anapiga fimbo Sana wamasai, na ndiomana nguvu kubwa ya masaai ni pesa na kuhonga mifugo ili kuwa ondoa wasukuma kuwa jirani zao!
 
Hatimaye wamasai na wasukuma wamekutana, ilikuwa wasikutane kabisa. Wamasai movement yao ni kuelekea mashariki na wasukuma ni kuelekea kusini, wasingekutana. Eneo la katikati mwa nchi ndio mpaka wao, huwezi kukuta wamasai wametamalaki vijiji vya mikoa ya singida na dodoma wakichunga mifugo yao labda wamang'ati kidogo wakitokea mkoa wa manyara. Wasukuma wana move kuelekea mikoa ya magharibi na kusini na wamasai wana move kuelekea mikoa ya mashariki na pwani hadi nyanda za juu kusini. Nchi imegawanyika symetrically pande mbli magharibi na mashariki, hizi jamii mbili za kifugaji zikikutana tu lazima clash itokee. Ni ngumu kuona wamasai wametamalika mikoa ya magharibi na ziwa wakichunga mifugo yao, hali kadhalika huwezi kuona wasukuma mikoa ya kaskazini wakichunga ng'ombe zao, jamii hizi mbli za kifugaji zimeganya nchi pande mbili, magharibi na mashariki, eneo la kati ni changanyikeni kuna vijiji hawakai pamoja
 
Asante kwa ushauri...

Bila shaka umemkusudia Club Tz!!

Nalifanyia kazi wazo hili.
 
Huwezi amini sababu wanazotoa kwenye mkasa huu...

Wanasema eti wasukuma ni watu wasiojua kumwachia Mungu endapo tutalisha mazao yao...

Can you imagine brother, kwamba hiyo ni sababu ya kumfukuza mtu na viongozi wa serikali wanaibariki!
 
Wasukuma mnakata sana miti nyie watu yan mkiingia sehem lazima pawe jangwa mnashida gan nyie majamaa
Uko sahihi ila hiyo siyo sababu inayofanya wafukuzwe hapo Mombo...

Wanafukuzwa kwasababu, maasai amezoea kulisha mifugo kwenye mashamba ya wenyeji na hachukuliwi hatua yeyote...

Ana hofu kwamba wasukuma hawatoacha bila vita kutokea.
 
Warudi mwakao wapi,wakati ni watanzania hawa wasukuma,
 
Warudi mwakao wapi,wakati ni watanzania hawa wasukuma,
Ndugu, mimi pia niko kwenye mshangao kama wako...

Na huwezi amini, viongozi wa serikali maeneo hayo wamebariki hili jambo...

Msukuma amepewa siku sita asionekane kule...

Hiyo ni kuanzia jana, kwahiyo baada ya siku sita huwenda tukasikia wasukuma wanauawa huko.
 

Mkoa wa Tanga rushwa,imezidi sana,kila mahali ni rushwa kwenda mbele.Kama huna rushwa,husikizwi.
 
Yote kwa yote sa100 kasababisha yote haya kwa kuuza maeneo ya wamasai kwa mwarabu
Hapana, nimewafuatilia Wamasai kuazia Morogoro, Kiteto, Arusha na kwingineko...

Ni kabila ambalo sio rahisi kuishi na jamii zingine bila migogoro...
 
Kwan wasukuma mnaalama usoni watajuaje huyu msukuma nahuyu sio msukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…