nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
- Thread starter
-
- #41
Wewe ni mtanzania?Kwan wasukuma mnaalama usoni watajuaje huyu msukuma nahuyu sio msukuma
UsiwasahauHakuna watu wanao jua kutoa rushwa kama maasai, Hao pipo nguvu Yao ipo kwenye pesa ndiomana ni mara chache Sana kumkuta maasai kufungwa kwa makosa madogo madogo, kwanza hawataki kuingia kwenye kadhia yoyote kwakuwa mahakamani hawatoki,
Kuwatazama kwan mnandonya usoni mi kijana wangu kaziliwa huko magu kisukuma ndo lugha yake yakwanza lakini sio msukuma japo yupo full kisukumaWewe ni mtanzania?
Sijauliza kwa ubaya, huenda hufahamu...
Kuna makabila unaweza kuwatambua kwa kuwatazama tu na wengine kuwasikiliza wakizungumza.
Rushwa ndio Tatizo kwa Tanga.Watafute TAKUKURU
Ndugu, mimi pia niko kwenye mshangao kama wako...
Na huwezi amini, viongozi wa serikali maeneo hayo wamebariki hili jambo...
Msukuma amepewa siku sita asionekane kule...
Hiyo ni kuanzia jana, kwahiyo baada ya siku sita huwenda tukasikia wasukuma wanauawa huko.