Wambulu na Wadatooga ndio wakazi wa mwanzo wa Ngororongo. Kadhia ya Ngorongoro haihitaji hisia

Unataka kusema nini?
 
Kwa hiyo mnataka kuwafukuza wasio bantustans?
 
Kwa hiyo mnataka kuwafukuza wasio bantustans?
Hapana, hakuna mtu yeyote anayetaka kumfukuza mtu mwingine yeyote kwenye ardhi ya Tanzania ila kinachofanyika ni kuwapanga ili sote tuenee na kupata ustawi. Kama eneo fulani limetengwa kwa ajili ya hifadhi, wananchi huondolewa , kufidiwa na kuhamishiwa eneo jingine. Ndivyo ilivyokuwa ikifanyika hifadhi zote ikiwemo Serengeti mwaka 1958 Wamasai wa Serengeti walihamishiwa Ngorongoro. Sasa wamezaliana na Ngorongoro imeelemewa, wanahamishiwa Msomera..
P
 
Sijaelewa, kwa hiyo Wanafukuzwa Wamasai wanarudishwa Wambulu sio?
 
Huu mwandiko ni Dr Sule. Mtaalam wa Majin
 
ssik ya kwanza kusikia kuna kabila linaitwa watanzania....
Eeeeh Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema vijalie vizazi vya GenZ
 
Wambulu ni watu gani hao?, hakuna wambulu bali kuna Wairaqw. Kushindwa tu kujua hilo kabila kunakuondolea credit ya unachokisema hapa. Kausha tu Chifu.
Hakuna wahiraq wambulu acheni kujikana yaani tangu kabla ya uhuru wanajulikana wambulu mnakana jina la kabila lenu mbona wanyiramba hawajakana kuwa wao ni wairamba baadhi ya kabla hutambulikana kutokana na eneo waliko toka mfano hata wachaga wanajitambua kutokana na eneo wanakotoka hivyo zamani eneo lililotambulika mapema ni Mbulu na wanyeji ni wambulu
 
Kwa hiyo waarabu wameona wawaondoe wamasai ili wakae wao na kuwinda na kusafirisha wanyama kupeleka emirate state
 
Hayo yanayotokea ni kwa ajili ya siasa za 2025, hawazungumzii athari za ongezeko kubwa la watu na mifugo kwenye ecosystem ya ngorongoro
 
Irrelevant.
 
Punguza ujinga na ujuaji Mkuu. Kwa taarifa yako Wairaqw wapo Karatu kwa wingi kuliko hata maeneo ya Mbulu na Babati.

Kabila ni Iraqw sasa wewe unaleta ujuaji uchwara tu hapa, kubali kuelimika kiongozi.

Alafu mimi ni mchaga sio muiraqw, jifunze kukubali elimu hamna shida kutokujua jambo ila kuna shida usipotaka kukubali ukweli wa jambo. Wewe hujui lolote kuhusu hilo kabila kaa kwa kutulia kiongozi.
 
Wenye hati milki kisheria juu ya ardhi ya Ngorongoro ni maasai.

Usijitoe ufahamu.
 
 
Wamaasai wanahamishwaa au wanfukuzwaa.....
Heeeeheeee hatareeeeee
Mutasmbie na sisi basi
Kwani kwa mujibu wa katibaaa yetu ile yenye marekebishoooo kibao ardhi ni mali ya nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…