Mkuu
Chaliifrancisco , thanks for this kumbe Wasandawe ni Khoisans, Wanganui ni Zulu waliletwa Tanzania na Zongendamba baada ya kukimbia vita vya Mfecene. Tanzania pia tuna Nilotic na Semi Nilotic from North Africa. Hata Wachagga ni Wakamba wa Kenya waliovamia Tanzania. Wajaluo ni Waluo wa Kenya waliovamia Tanzania, Wamasai ni Semi Nilotic waliovamia Tanzania. Wahaya ni watu wa Bunyoro Kingdom waliovamia Tanzania wakiongozwa na Mkama Rumanyika. Wamakonde na Chingaz ni wavamizi kutoka Msumbiji. Wale Wanyasa ni wavamizi kutoka Malawi.
Makabila asili wa Tanzania ni Bantustans ambao ni Wagogo, Wasukuma, Wahehe na makabila machache sana.
Wakoloni nao wakapiga mipaka na kukata baadhi ya makabila kuwa nchi mbili tofauti.
Thanks tu uhuru, kila aliyekuwepo kwenye ardhi ya Tanganyika ile saa 5:59 usiku wa tarehe 8 Desemba 1961, alipata Utanganyika bure.
P