Wambulu na Wadatooga ndio wakazi wa mwanzo wa Ngororongo. Kadhia ya Ngorongoro haihitaji hisia

Wambulu na Wadatooga ndio wakazi wa mwanzo wa Ngororongo. Kadhia ya Ngorongoro haihitaji hisia

Naunga mkono hoja;
View attachment 3076034

Kabla ya karne ya 17 walikuwa huko Sudan wana migrate. Walipofika Serngeti wakawakuta Watatoga ndiyo wakawa displace na kuishi wao.

View attachment 3076037 Wamasai walikuwa wanaishi Serengeti kabla ya Mkoloni hajawahamisha ili ku establish Serengeti National Park kwa sheria ya mwaka 1951
An intelligent and zealout son of Tanzania by the name Stuxnet [emoji7]

Kudos compatriot [emoji450]

Umesema kweli tupu ambayo wapindisha mambo hawataki isemwe[emoji449]

Shukran kaka ,be blessed ,amen[emoji7]

#Kabila la Ngororongo ni watanzania [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unachosema wewe ndiyo nliambiwaga huko na mzee mmoja wa kimasai maarufu huko anaitwa clemence,anaijuwa historia nZuri sana ya ngorongoro

Utakuta limits humu lina Google tu hata ngorongoro yenyewe hajawahi fika

Ova
Itabaki kuwa ni facts...si wamasai walioanza kuishi Ngororongo....ni wairaqw na watatooga....nami pia nimesimuliwa na mzee mkongwe aitwaye Joshua wa huko huko Ngororongo....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Itabaki kuwa ni facts...si wamasai walioanza kuishi Ngororongo....ni wairaqw na watatooga....nami pia nimesimuliwa na mzee mkongwe aitwaye Joshua wa huko huko Ngororongo....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe unashangaa wamasai kuwatimua wambulu na wa datooga huko
Wangoni wenyewe mpaka kusettle pale songea kutoka kwao huko kusini mwa afrika,wamekaa pale kibabe
Zamani huko mwafrika alikuwa anahama mzee kumbuka kulikuwa hakuna mipaka ya kinchi

Ova
 
Mkuu Chaliifrancisco , thanks for this kumbe Wasandawe ni Khoisans, Wanganui ni Zulu waliletwa Tanzania na Zongendamba baada ya kukimbia vita vya Mfecene. Tanzania pia tuna Nilotic na Semi Nilotic from North Africa. Hata Wachagga ni Wakamba wa Kenya waliovamia Tanzania. Wajaluo ni Waluo wa Kenya waliovamia Tanzania, Wamasai ni Semi Nilotic waliovamia Tanzania. Wahaya ni watu wa Bunyoro Kingdom waliovamia Tanzania wakiongozwa na Mkama Rumanyika. Wamakonde na Chingaz ni wavamizi kutoka Msumbiji. Wale Wanyasa ni wavamizi kutoka Malawi.

Makabila asili wa Tanzania ni Bantustans ambao ni Wagogo, Wasukuma, Wahehe na makabila machache sana.

Wakoloni nao wakapiga mipaka na kukata baadhi ya makabila kuwa nchi mbili tofauti.

Thanks tu uhuru, kila aliyekuwepo kwenye ardhi ya Tanganyika ile saa 5:59 usiku wa tarehe 8 Desemba 1961, alipata Utanganyika bure.
P
Ndio ipo ivyo mkuu, leo hii ni usaliti na uonevu kusema uwaondoe watu fulani eneo lao ambapo mababu kwa mababu wameishi hapo hata kama alisi yao ni ya nchi ukanda mwingine.
 
Sasa wewe unashangaa wamasai kuwatimua wambulu na wa datooga huko
Wangoni wenyewe mpaka kusettle pale songea kutoka kwao huko kusini mwa afrika,wamekaa pale kibabe
Zamani huko mwafrika alikuwa anahama mzee kumbuka kulikuwa hakuna mipaka ya kinchi

Ova
Historia hiyo iko wazi...kumbe hizi ardhi watu wanapita tu....sasa watanzania wameamua kuishi hapo Ngororongo...taifa la Tanzania...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.

Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI...

Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).

Makabila mengi yalipita hapo lakini kabila la mwisho kuishi Ngororongo linaitwa WATANZANIA...

Hapo ni kwa watanzania [emoji7]

#Tanzania kwanza[emoji7]

#JMT milele dumu[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Zanzibar nako Waarab walivamia na kuwafukuza wabantu waliokuwa wenyeji. Waarab nao wafukuzwe warudi kaao Oman
 
Wachagga walikuwa huko Ngorongoro kabla ya kufurushwa na mikuki na Wamasai.
 
Zanzibar nako Waarab walivamia na kuwafukuza wabantu waliokuwa wenyeji. Waarab nao wafukuzwe warudi kaao Oman
Zanzibar si dola la waaarabu...

Waarabu kwao si Zanzibar...

Walikuja kutafuta "maslahi" yao...wakatukuta waafrika...na leo wametuacha....

Mbona Sultan Jamshid yuko ukimbizini kwa rafiki zake WAINGEREZA ?!!

#Nchi Kwanza[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.

Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI...

Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).

Makabila mengi yalipita hapo lakini kabila la mwisho kuishi Ngororongo linaitwa WATANZANIA...

Hapo ni kwa watanzania [emoji7]

#Tanzania kwanza[emoji7]

#JMT milele dumu[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wewe mpumbavu ni kama unajaribu kuhalalisha Wangoni wafukuzwe nchini kurudi South Africa kwenye asili Yao.
 
Am I Muslim elite ?

No

Am I "mamas parasite"?!!

No

What I know is , humanity should be respected and reserved by any means necessary....Israel as a nation has a core rights to exist ,similar to Palestine.

There is an exquisite book "HISTORY OF ZIONISM" by an author NAHUM SOKOLOW ,I advocate you to peruze it.

This book has been opposed by every person who has hatred against Jews....

Personally ,I have neither bigotry nor racist thoughts against any human being[emoji7]

Kwa Ngorongoro ni jambo jengine mzee kwani hakuna fikra ya "MASS CLEANSING..."

Upo?!!

#Tanzania Kwanza[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mass cleansing inakosekana vipi kama watu wanawekewa mazingira ya kutopata huduma za kijamii za maji na chakula!? Hizi njaa zisiwatoe akili.
 
Back
Top Bottom