CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Ngoja tuweke kambi tujue Mr.Wambura anenda wapi kama kujiajiri tuwahi nafasi za kazi kwenye kituo chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifia MarekaniVipi muhsin mambo ?
Baragaza nilikuwa namkubali sana enzi hizo, na rfa ilikuwa ni moja kati ya redio zilizofanya makubwa sana enzi hizo mpaka hivi karibuni ilipokumbwa na ukata.Mkuu naomba kuuliza Juma Baragaza na Kamukulu wamefariki lini Daaah!! Kweli dunia tunapita sikuwa na taarifa za Baragaza kuwa amefariki nina mda kidogo sijasikiliza Redio
Samadu Hassan alikuwa na kipindi chake kinaitwa JUNGU KUU kila jumapili saa moja usiku, hapo unakuta na habari mbalimbalibza wiki zikiambatana uchambuzi.Samadu Hassan, mchambuzi bora kabisa wa habari za mbali. R.I.P
[emoji23]Picha kuonesha akiondoka?
Nguli wa utangazaji kutoka kituo cha Radio Free Africa (RFA) Wambura Mtani ameondoka katika kituo hicho alicho hudumu kwa miaka 22.
Mtani ni mkongwe aliyekuwa amebaki kwenye Radio hiyo baada ya watangazaji wengine nguli kuondoka humo na wengine walifariki kama vile Jumaa Ahmed Baragaza (R.I.P) Zuberi Msabaha (R.I.P), Prince Baina Kamukulu (R.I.P), Fred Fidelis aka Fredwaa (R.I.P) ambaye baadae aliondoka.
Binafsi nitamkumbuka kwa mazuri yake hapo na akapambane kutafuta changamoto mpya.
Diallo ni mpuuzi sana , yaani hapa kweli ndio unaamini elimu ni muhimuAmelipwaaa anachodai ? Maana boss wake ni zulumati mkubwa sana Africa.....atadai hadi atastaafu hajalipwa.....Hujawahi kusikia jamaa ana kesi kama zote.....halipiii akishinswa amesha declare kufilisila......halipi chochore daaa fiallo tapeliii....mkubwaa sanaa.....
Alishindwa badilika kuendana na wakatiSahara media ya Diallo ndio kuishiney
Rfa kifo ,star tv kifo , kiss FM kifo
Huyu mzee kafeli vibaya sana
Ukiangalia hizo media zilikuwa moja kati ya vyombo vya habari bomba kabisa
Anga za kimataifaSamadu Hassan alikuwa na kipindi chake kinaitwa JUNGU KUU kila jumapili saa moja usiku, hapo unakuta na habari mbalimbalibza wiki zikiambatana uchambuzi.
Aiseeh RFA ilikuwa ya moto sana enzi hizo.
Rahabu yupo Azam hukuchanganya, mtoto wa mama sabuni ni Glory Robinson alikuwa anatangaza RFA Bonanza sehemu ya pili. Kipindi chake kilikuwa na instrument ya music of the sun.Hii ndo radio nilikuwa naijua, kipindi hicho nilikuwa najua ratiba ya vipindi vyote, watangazaji wote kwa majina na sauti zao
Akianza kuongea tu najua huyo ni sauti ya fulani,
Sasa sijaisikiliza tangu 2012 zaidi ya miaka 10.
Nashangaa wadau wanasema wakina Fredy Waa(sindano 5 za moto), Samadu Hassan wamefariki aisee mda unatembea sana
Baruani(saiv namuona Azam)
Ivona naye Azam
Joyce Mwakalinga naye Azam
Rebecca Molesi sijui hata yuko wapi
Rahabu Fredy kuna siku nilisikia sauti yake Azam sijui yuko ama nilichanganya!
Wambura Mtani naye ndo hivo amesepa,
Kuna mwingine alikuwa anaitwa mtoto mama sabuni jina simkumbuki,
Hivi kile kipindi cha duniani wiki hii bado kipo? Nalikuwa nakipenda sana bora nikose sitosahau lakini kile hapana.
Aligongwa na gariHivi Fredwaa alikufaga!? Kuna kipindi niliwahi kumsikia clouds fm.
Mkuu RFA haijaizidi Kiss Fm kwa ulocal... Yaani kiss fm imekua mpaka na vipindi vile vya umbea kama vya kina mwijaku na baba levo. Enzi zile The Morning Kiss ya John Karani na Irene Tilya.. nimeisikiliza majuzi hapa nikasikitika sanadah RFA siku hizi imekua local sana!
zaman hii redio ilikua bab kubwa kuliko redio yoyote hapa nchini........
steve moyo aliendaGa wapi?