Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho.

Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna msaada watahitaji ili kukamilisha dua hiyo kwa ufanisi niko tayari kuchangia. Pia nimewaahidi wakitoka kusoma waje kijiweni na wakija waje na majibu kuhusu maswali niliyo wauliza na waandae majibu kuhusu kufeli kwa Albadiri yao.

Natoa wito kwa wataalamu wa Albadiri hapa JF kuongeza nguvu ili saa 10 jini lao lisifeli. Mkiona kimya mjue niko kwa allah wao nawapelekea moto wale madem 72 wa allah.
======

Updates:
Hivi sasa ni saa 1 jioni na hakuna chochote. Hakika jini limeyatimba, yaani limeingia kwenye mfumo.

Baada ya jini lao kufeli sasa wanasema hawataki kuniona kijiweni.

Nimewaambia walete kwanza majibu ya maswali yangu na wasinipangie pakwenda kwenye nchi yangu.
 
Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho.

Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna msaada watahitaji ili kukamilisha dua hiyo kwa ufanisi niko tayari kuchangia. Pia nimewaahidi wakitoka kusoma waje kijiweni na wakija waje na majibu kuhusu maswali niliyo wauliza na waandae majibu kuhusu kufeli kwa Albadiri yao.

Natoa wito kwa wataalamu wa Albadiri hapa JF kuongeza nguvu ili saa 10 jini lao lisifeli.
isije ikawa umekusanya na kusepa na viatu na sandozi za watu wakiwa ndani wanafanya ibada kwenye nyumba yao ya ibada wewe nje ukafanya yako 🐒
 
Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho.

Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna msaada watahitaji ili kukamilisha dua hiyo kwa ufanisi niko tayari kuchangia. Pia nimewaahidi wakitoka kusoma waje kijiweni na wakija waje na majibu kuhusu maswali niliyo wauliza na waandae majibu kuhusu kufeli kwa Albadiri yao.

Natoa wito kwa wataalamu wa Albadiri hapa JF kuongeza nguvu ili saa 10 jini lao lisifeli.
Hata yule sheikh wa mitandaoni alimsomea albadili Afande sele ila mpaka leo afande anadunda huko moro ,aliyekuwa sheikh wa Dar alisema mange mwisho wa kuongea ulikuwa mwaka 2022 nahisi lakini mpaka sasa Mange anatema cheche tena za hatari...Hao mashee wengi wana ushenzi wanafanya behind the scenes sema tu hatuoni.

Ebu chukulia Boss wa Club 1245 akiwa nje watu wanavyo muheshimu lakini check mambo anayofanya ya kuinamisha wafanyakazi wake ofisini kwake na kuwapa kitu.
 
Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho.

Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna msaada watahitaji ili kukamilisha dua hiyo kwa ufanisi niko tayari kuchangia. Pia nimewaahidi wakitoka kusoma waje kijiweni na wakija waje na majibu kuhusu maswali niliyo wauliza na waandae majibu kuhusu kufeli kwa Albadiri yao.

Natoa wito kwa wataalamu wa Albadiri hapa JF kuongeza nguvu ili saa 10 jini lao lisifeli.
Kesho uki reply comment yangu najua bado u hai otherwise hatupo na wewe
 
Albadiri ni kisomo cha kutuma majini kwa minajili ya kulipiza, ila kuna muda majini hayo nayo yakiona maji ya shingo huwa yanagoma kutumwa.

Kama wewe ni mkristo, tengeneza madhabahu hapo hapo ulipo, mwaga damu ya Yesu - patachimbika.

Kama wewe ni mpagani - usijali, jiapize kwamba hiyo albadir haiwezi kukudhuru na iwarudie wao.

Haya ni mambo ya Imani, sasa kama huna imani last option wakati wanaisoma wewe nenda bar agiza kitimoto na Kvant burudika.
 
Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho.

Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna msaada watahitaji ili kukamilisha dua hiyo kwa ufanisi niko tayari kuchangia. Pia nimewaahidi wakitoka kusoma waje kijiweni na wakija waje na majibu kuhusu maswali niliyo wauliza na waandae majibu kuhusu kufeli kwa Albadiri yao.

Natoa wito kwa wataalamu wa Albadiri hapa JF kuongeza nguvu ili saa 10 jini lao lisifeli.
Kesho tusipokuona hapa tujue albadili imetick?
 
Walai bilahi taofiq , taofiq ya Shabiby, Shabiby ya tahameed, tahameed ya Abood, Abood ya Kandahar, Kandahar ya ally star.
kwa dua hii niliyokupatia hakuna kitu kitakupata tembea kifua mbele.
 
Leo litakufa hilo jini la Albadiri. Mtasikia kwa mara yakwanza jini lafia kijiweni baada ya kutembezewa kichapo na mteja wa kahawa.
athari zake hazitokei hapo hapo gentleman, ila ni katika mazingira ya kutatanisha kidogo. Mtu anakata moto na afya yake kabisa mathalani kwa kupamiwa na whlibarowo au kupaliwa akiwa anabugia tikiti tu 🐒
 
Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho.

Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna msaada watahitaji ili kukamilisha dua hiyo kwa ufanisi niko tayari kuchangia. Pia nimewaahidi wakitoka kusoma waje kijiweni na wakija waje na majibu kuhusu maswali niliyo wauliza na waandae majibu kuhusu kufeli kwa Albadiri yao.

Natoa wito kwa wataalamu wa Albadiri hapa JF kuongeza nguvu ili saa 10 jini lao lisifeli.
Yaan,
Umeamua KWENDA KUVUTIA SIGARA KITUO CHA MAFUTA.

Kwenye uislamu kuna watu wameenda mbali wanatumia shirki so Kuna MAKAFARA.

Mzee ngoja tusubir hiyo saa 10 tuonee itakuwaje.
 
Siku niliyotambua kuwa watu wengi hawatumii Akili kuchanganua mambo. Niliacha kabisa kubishana na watu...
 
Back
Top Bottom