Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

Albadiri inhisiana na vita ya Al Badr.
Kusoma Dua ya albadiri maana yake unamtaja Mtume ( Muhammad), pamoja na kila aliyepigana katika vita ya Al Badr.
Unawataja wote,mmoja baada ya mwingine,nao wako 330+.
 
Yaan,
Umeamua KWENDA KUVUTIA SIGARA KITUO CHA MAFUTA.

Kwenye uislamu kuna watu wameenda mbali wanatumia shirki so Kuna MAKAFARA.

Mzee ngoja tusubir hiyo saa 10 tuonee itakuwaje.
Kwenye uislam hakuna kitu kinaitwa Albadir
 
Albadiri inhisiana na vita ya Al Badr.
Kusoma Dua ya albadiri maana yake unamtaja Mtume ( Muhammad), pamoja na kila aliyepigana katika vita ya Al Badr.
Unawataja wote,mmoja baada ya mwingine,nao wako 330+.
Halafu ukimaliza kuwataja?
 
Ugomvi ulikuwa mkubwa ndiyomaana leo wanasoma albadiri namimi niko pamoja nao nimewaambia kama atahitajika mbuzi au ng'ombe wanishirikishe nichangie
Waislamu wengi wasioelewa Dini yao wanatishwa na kutishika kwa kusikia neno hilo lakini hata hawashtuki wala kujali pindi wanaposikia jina la Allaah, Jalla Jalaaluh. Hilo ni kosa na shirki kwani albadir ni neno la Kiarabu lililopotoshwa maana yake na makusudio, kwani usawa ni Ahlul Badr (watu wa Badr). Katika kisomo hicho kunasomwa majina 313 – 319 ya wale Maswahaba (Radhwiya Allaahu ‘anhum) walioshiriki katika vita baina yao (Waislamu) na makafiri wa kutoka Makkah. Kuyatumia majina hayo kuomba kwayo au kumlaania mtu ni shirki na haifai Muislamu kufanya hilo
 
Kwa waislamu wenye kuijua dini yao raha sana.......
Lakini hawa wenye misingi ya chuki na mihemko mtihani sana........
 
Wailsamu wana mbwembwe
Hakuna muislam wa kweli akahangaika na Al badir, wafanyayo hayo ni washirikina, pia nahisi mtoa mada lengo lake ni kuupaka matope uislam tu hakuna watu aliozinguana nao.
 
Hata yule sheikh wa mitandaoni alimsomea albadili Afande sele ila mpaka leo afande anadunda huko moro ,aliyekuwa sheikh wa Dar alisema mange mwisho wa kuongea ulikuwa mwaka 2022 nahisi lakini mpaka sasa Mange anatema cheche tena za hatari...Hao mashee wengi wana ushenzi wanafanya behind the scenes sema tu hatuoni.

Ebu chukulia Boss wa Club 1245 akiwa nje watu wanavyo muheshimu lakini check mambo anayofanya ya kuinamisha wafanyakazi wake ofisini kwake na kuwapa kitu.
Mkuu connection ya boss wa 1245 nisaidie hata link
 
Kuna wale wahuni wa Tanga walisema watasoma albadiri kwa wale waliohusika na kifo cha kikatili cha mzee Ali Kibao, sijui albadiri yao imepotelea wapi?!.
 
Ukiwa na kosa itakupata,
Wakati mwingine usihangaike na hao, wengine ni wachawi wanaweza kukufanyia ulozi
Albadili ni ushirikina na mara nyingi hufanywa na watu wanaojinasibu kuwa wao ni Masheikh katika Uislam na hakika ilivyo hafanyi Mtu jambo lile ila Tayari anakuwa Mshirikina na si Muislam tena ,
Na Albadili ni Ushirikina
Ukiwa na kosa itakupata,
Wakati mwingine usihangaike na hao, wengine ni wachawi wanaweza kukufanyia ulozi

Ukiwa na kosa itakupata,
Wakati mwingine usihangaike na hao, wengine ni wachawi wanaweza kukufanyia ulozi
 
Hiyo saa 10 si ishapita vip bado unahema ama umesha rest in peace.
 
Back
Top Bottom