Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

Hivi kwanini mnaleta dhihaka katika masuala ya imani?, utoto , ujuha au kitu gani?...kwahiyo tuanze kujadili ubishani wenu huko kijiweni kwenu?...
 
Ubaya unampata yule aliye mbaya,kama huna ubaya hata wangelala kufudifudi hamna kitu.
 
Tatizo la Uislam na waumini wao liko hapa, kukataa ukweli. Yaani tuko tunaishi hii karne ya 21 lakini kuna mazwazwa wanaamini kuwa Quran ni kitabu cha Mungu wakati Muddy alipewa hizo haya na shetani. Sielewi kwanini hawataki ukweli.
 
Huyo hawezi kufa mpaka Mungu mwenyewe atake, kuongea ama kuhoji uhalali wa Muddy kuwa Mtume si dhambi kwani ni dhahiri kabisa jamaa alikuwa mbakaji na muuwaji. Kuna dhambi gani mtu kama mimi (Great Thinker) kumuuliza sheikh kwanini anadanganya waumini wake kuhusu Muddy kuwa alikuwa mtu mwema wakati si kweli? Hapa hata wakinisomea albadiri sitokufa kwani ninauliza ukweli na sikashifu mtu.
 
Albadir ni ushirikina na haiuruhusiwi katika uislam.

Sisi tunapima kuchanganyikiwa kwenu kwa kupitia papa francis alivyobariki ndoa za jinsia moja wanaume muoane wenyewe kwa wenyewe
 
Just imagine dini inatumia majini kutawala na kutishia watu kisha wanadanganya na kusema ni dini ya amani, think about that? Ndiyo maana nchi za Ulaya zinaaandamana kutaka wakimbizi wa Kimujahadeen wote wakmatwe na kurudishwa makwao kwani wanairudisha Ulaya nyuma kimaendeleo.
 

hakuna kitu kama hicho. Toka nizaliwe sijaona mtu yoyote aliyesemwa hadharani albadili itamzingua akazinguka. Afande Sele ni mmoja wa watu hao. Hivyo ni vitisho vya kibabaishaji
 
We umekutana na vibaka tu.
Hata kusoma msahafu hawajui.
 
Albadir ni ushirikina na haiuruhusiwi katika uislam.

Sisi tunapima kuchanganyikiwa kwenu kwa kupitia papa francis alivyobariki ndoa za jinsia moja wanaume muoane wenyewe kwa wenyewe
Sasa Mbona mnasoma kupitia Mashehe wenu kupitia kitabu chenu!
 
Kiufupi mpaka sasa mkuu Vichekesho anadunda. Hakuna cha albadiri wala maza ake albadiiiiiiiir.... jini sijui limegoma au limeona maji ya shongo likala nduki🤣🤣
 
Kwa hiyo badala ya mademu 72,umechaguwa ukapakatwe na kidume Ibrahimu,kama Lazaro alivyopakatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…