Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Kwenye uislam hakuna kitu kinaitwa AlbadirYaan,
Umeamua KWENDA KUVUTIA SIGARA KITUO CHA MAFUTA.
Kwenye uislamu kuna watu wameenda mbali wanatumia shirki so Kuna MAKAFARA.
Mzee ngoja tusubir hiyo saa 10 tuonee itakuwaje.
Halafu ukimaliza kuwataja?Albadiri inhisiana na vita ya Al Badr.
Kusoma Dua ya albadiri maana yake unamtaja Mtume ( Muhammad), pamoja na kila aliyepigana katika vita ya Al Badr.
Unawataja wote,mmoja baada ya mwingine,nao wako 330+.
Waislamu wengi wasioelewa Dini yao wanatishwa na kutishika kwa kusikia neno hilo lakini hata hawashtuki wala kujali pindi wanaposikia jina la Allaah, Jalla Jalaaluh. Hilo ni kosa na shirki kwani albadir ni neno la Kiarabu lililopotoshwa maana yake na makusudio, kwani usawa ni Ahlul Badr (watu wa Badr). Katika kisomo hicho kunasomwa majina 313 โ 319 ya wale Maswahaba (Radhwiya Allaahu โanhum) walioshiriki katika vita baina yao (Waislamu) na makafiri wa kutoka Makkah. Kuyatumia majina hayo kuomba kwayo au kumlaania mtu ni shirki na haifai Muislamu kufanya hiloUgomvi ulikuwa mkubwa ndiyomaana leo wanasoma albadiri namimi niko pamoja nao nimewaambia kama atahitajika mbuzi au ng'ombe wanishirikishe nichangie
Umesoma ID ya mtoa mada? Cha ajabu kuna watu wanamchukulia serious.[emoji23]
KabisaUkiwa na kosa itakupata,
Wakati mwingine usihangaike na hao, wengine ni wachawi wanaweza kukufanyia ulozi
Kwa waislamu wenye kuijua dini yao raha sana.......Waislamu wengi wasioelewa Dini yao wanatishwa na kutishika kwa kusikia neno hilo lakini hata hawashtuki wala kujali pindi wanaposikia jina la Allaah, Jalla Jalaaluh. Hilo ni kosa na shirki kwani albadir ni neno la Kiarabu lililopotoshwa maana yake na makusudio, kwani usawa ni Ahlul Badr (watu wa Badr). Katika kisomo hicho kunasomwa majina 313 โ 319 ya wale Maswahaba (Radhwiya Allaahu โanhum) walioshiriki katika vita baina yao (Waislamu) na makafiri wa kutoka Makkah. Kuyatumia majina hayo kuomba kwayo au kumlaania mtu ni shirki na haifai Muislamu kufanya hilo
Hakuna muislam wa kweli akahangaika na Al badir, wafanyayo hayo ni washirikina, pia nahisi mtoa mada lengo lake ni kuupaka matope uislam tu hakuna watu aliozinguana nao.Wailsamu wana mbwembwe
Mkuu connection ya boss wa 1245 nisaidie hata linkHata yule sheikh wa mitandaoni alimsomea albadili Afande sele ila mpaka leo afande anadunda huko moro ,aliyekuwa sheikh wa Dar alisema mange mwisho wa kuongea ulikuwa mwaka 2022 nahisi lakini mpaka sasa Mange anatema cheche tena za hatari...Hao mashee wengi wana ushenzi wanafanya behind the scenes sema tu hatuoni.
Ebu chukulia Boss wa Club 1245 akiwa nje watu wanavyo muheshimu lakini check mambo anayofanya ya kuinamisha wafanyakazi wake ofisini kwake na kuwapa kitu.
Naona umeanza kutumia nguvu Kama jina lako..Kwenye uislam hakuna kitu kinaitwa Albadir
Kaka sio kila Abdallah anaijua diniNaona umeanza kutumia nguvu Kama jina lako..
Maguzu ๐ ๐โบ๏ธ
Walio SEMA wanasoma albadir kwa kifo Cha mzee ally kibao ni wakristo wale????
Albadili ni ushirikina na mara nyingi hufanywa na watu wanaojinasibu kuwa wao ni Masheikh katika Uislam na hakika ilivyo hafanyi Mtu jambo lile ila Tayari anakuwa Mshirikina na si Muislam tena ,Ukiwa na kosa itakupata,
Wakati mwingine usihangaike na hao, wengine ni wachawi wanaweza kukufanyia ulozi
Ukiwa na kosa itakupata,
Wakati mwingine usihangaike na hao, wengine ni wachawi wanaweza kukufanyia ulozi
Ukiwa na kosa itakupata,
Wakati mwingine usihangaike na hao, wengine ni wachawi wanaweza kukufanyia ulozi
Ule moto wa pididii eee - watatoka nduki huku wakikisahau kitabu cha AkbadirMkuu we ni mnoma,wapelekee moto