Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

😆😆😆
 
Watashindwa kama walivyoshindwa Toka day 1

Kete Yao ya mwisho ni kuchochea mgawanyiko wa kidini,nayo imebuma.

Uzuri mmoja wa hii dunia ni kuwa penye ukweli, uongo unajitenga. Na anayedhani amesimama aangalie asianguke.

Tujifunze kuwa watu wanyenyekevu....tutashinda mambo mengi sana. Kujidai tunajua kila kitu na tuna nguvu za kila kitu ni kujilisha upepo, tuvimbiwe matumbo.

Halafu siku zote, ufalme wowote unaosimama kwenye misingi ya uongo uongo huwa unaanguka. Ipo mifano lukuki ya kuthibitisha haya. Tena toka enzi na enzi
 
Unyenyekevu Kwa binadamu? Uko sawa kichwani?
 
Amekusema wewe?mbona unajistukia sana wewe unaetetea maovu ndio unailazimisha furaha chawa mkubwa wewe
Mbona mnarumana kwani kasema nini huyo aliye sema.mnaweza mkatoana macho kumbe hana maana hiyo .Labda ana maana ya mchuuza samaki.
 
JK alisema Hadi mambo yaharibike sana ila Kwa hili yamekorogeka kabisa pia tunawapa ugumu wagombea wetu Kimataifa kama Prof. Janabi , Kwa Hali hii kutoboa ni ngumu huko WHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…