Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Sauti zikizidi kusikika kutoka CCM zikitaja neno HAKI zinaweza kubadili upepo na wote kwa umoja wetu tukaanza safari mpya ya ukombozi wa taifa letu. Shime wanaccm tokeni mafichoni muungane na wazee kına Warioba, Butiku na Tibaijuka kutamka neno HAKI ambalo limekuwa ni ‘taboo’ kutamkwa na wanaccm
 
Mwenyekiti wa sasa ni Lissu na sio mbowe mwaka huu hakuna kupanda dau, ni no reforms no elections
Mkuu Amu,@amun ra,kwanza nakubaliana na Chadema,reforms ni muhimu,ila no。election ni hoodwinking,Chadema haina uwezo kuzuia uchaguzi usifanyike bila kufanya jinai!。Chadema isiposhiriki uchaguzi huu,that is the sad end of Chadema!。
P
 
G55 inakuja tena baada ya bunge kuvunjwa. Moto wake utarejesha marekebisho ya sheria za uchaguzi.
 
Kila nikikaa huwa nakumbuka lile andiko lako " Kama kweli Mama amesikia sauti ya YEYE aendelee, kama ni kina yeye asiendelee" naomba ule Uzi niupitie tena mkuu
 

Infakirisha Code nyingi Sana Leo kiasi cha Kutaka kumjua Chamdeko
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Kwahiyo watu waliopo mitandaoni ni maroboti?

For this era Kama MTU Ana power mtandaoni means na mtaani ana power kubwa vile vile .
 
Kama ni li bongo lala wacha lipigwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…