Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Tufanye ni kweli mitandao ina nguvu.Kwahiyo watu waliopo mitandaoni ni maroboti?
For this era Kama MTU Ana power mtandaoni means na mtaani ana power kubwa vile vile .
Bora ututolee huku, mchukue mkajadili uzi wenu pendwa anatukera hapa..!! πΉGentleman,
Nimekutag kwenye ule uzi wetu wa tunda la kimaskhara nasubiria maoni yako tuzidi kulisongesha gurudumu la huba.
Code iko wazi, soma kwa kutulia utaelewa..!!Haya jmn tufungulieni codeππ
Tufanye ni kweli mitandao ina nguvu.
Lakini je,tunaweza kuandamana,ili kufikisha ujumbe Kwa wahusika?
Au sisi ni keyboard warriors tu
Ngoja nirudi kuusoma tena uzi wa Dark days 17th March, haiyumkini utanisaidia kufumbua codes za Mshana.Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati mmoja.
Ujuaji mwingi huishia kupigwa! Hill chocho walilomuingiza, aliyeingizwa choo cha city anasubiri.. Maana ni chocho baya lisilo na rivasi.. Lakini je wana plan B.. Maana huko walikomlengesha hachomoki! Hata kwa kudra za Maanani!
Kuna akili na kuna maarifa.. Lazima kwenye kila misheni hivi vyote viwili viwe applicable.. Ukitumia kimoja ukaacha kimoja umekwisha!
Wezi wengi wana akili ya kuiba lakini hawana maarifa ya kuishi na mali ya wizi.. Kesi study ya Justine Kasusura.. Pesa ina kelele japo haipendi kelele.
Nina hakika wamekuwa na akili ya kumwangushia jumba bovu lakini sina hakika kama kwa asilimia 100 wana plan B iliyonyooka! Isiyo na mauzauza
Je wapishi wakuu kwenye hili ni akina nani!? Vyovyote vile iwavyo hawa hawakosekani.. Mfalme wa rock n rollsπ na chamdeko mwana mpendeka!
Mioyo ya watu ni kiza kinene.. Ukijua hivi wanajua vile..
Taswira za kinyongaView attachment 3324012
Mkuu endelea kujilisha upepo.Yawezekana tukawa keyboard warriors hiyo ni kweli .
Ila Mimi siwezi kuwabeza chadema kuhusu wao kukubalika mitandaoni kwakuwa mitandaoni wanaoitumia ndo hao hao wapo mitaani .
Ni hoja dhaifu Sana kusema kuwa mtandaoni kuna kakikundi ka watu
Ngoja nirudi kuusoma tena uzi wa Dark days 17th March, haiyumkini utanisaidia kufumbua codes za Mshana.
Mkuu endelea kujilisha upepo.
CCM wataendelea kupiga bao miaka yote sioni upinzani wa kuchukua nchi hii,
Upinzani ni watu tu ambao Wana tamaa na kudhani serikali iliyopo madarakani wanafaidi.
Yaani wanadai reforms ambazo hazina kichwa wala miguu,kwanza kwamfano CDM kutaka kususia uchaguzi ni kuleta visingizio tu baada ya kuona hawana uwezo huo,wao Kwa wao hawaelewani.
Walichobakiza ni kutaka kuleta fujo tu na kuharibu Amani ,lakini Jambo zuri ni kwamba inteligensia ya serikali hii iko makini unawahiwa kabla hujaleta effects zozote .
Anyway
Sipendezwi na haya mambo ya kupoteza hawa watu
#free Tundu Lissu
#free Deusdedith Soka
#free Mdude
Na wanaharakati wengine.
Hivi Mungu akiwachukua Mzee Warioba na Mzee Butiku Tanzania itabaki na wazee akina nani tena?
Babu Wasira nae anawashwa au sioHawa wazee wanawashwa washwa. Kwa umri wao ni wakati wa kucheza na wajukuu. Kwa umri wao Masuala waliyojiinga yatawaua kwa presha.
Mimi siyo Mtaji wa CCM Mimi ni CCMWatu Kama wewe ni mtaji mkubwa wa ccm.
Kwa akili yako unaamini uchaguzi wa 2020 na uchaguzi wa serikali za mtaa 2024 ulikuwa halali?
Kama haukuwa halali je unataka chadema waingie kugombea katika mazingira ambayo hawatotendewa haki?.
Mimi siyo Mtaji wa CCM Mimi ni CCM
Sema kingine
Kweli sijaelewa nani mpishi wa uchafuzi, je ni Born town au Chuga 1Yaani hii nayo ni codeπ€£π€£
anagongwa demu chumba cha pili kiuno unakata wewekujidanganya, kujifariji, kujipa matumaini hewa na kuilazimisha furaha ingawa moyoni una majonzi, ni unafiki na kitu mbaya sana gentleman π
Punguza dharau basi,kila mtu ana upande aliouchaguaππππAhaaa ! Sasa ungenambia mapema kwakuwa Mimi nina ndugu zangu wapo huko uwezo wao naujua.
Huo ndo ukweli wenyewe johππ¨Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi
Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Sio dharau Mkuu hilo jambo lipo wazi nadhani hata wewe unajijua Mkuu.Punguza dharau basi,kila mtu ana upande aliouchagua
KikweteHivi Mungu akiwachukua Mzee Warioba na Mzee Butiku Tanzania itabaki na wazee akina nani tena?