Wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya ndoa

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Augustine Makule na Mpenzi wake Rose Kimaro wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya harusi yao.

Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma na kupelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu vya mguu wake wa kushoto.

Licha ya maumivu makali aliyokuwa nayo waliamua kuendelea na ratiba yao ya ndoa ambayo waliifungia ndani ya wodi baada ya Mchungaji kufika na baadhi ya Waumini na kuendelea na taratibu za ndoa.

full video ya habari hii ipo kwenye Youtube ya millardayo.

 
ana bahati kupata mke wa hivo anayebaki na wewe kwenye shida,mke mwema
 
Hata Mim siwezi tutafunga tu ndoa bana tatizo tu mboooo ndio ikosane ikiwepo sina shida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ikikosekana tutajua
Bora uishi na zimwi likujualo
Tatizo kuichezesha itakuwa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…