Wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya ndoa

Hata Mim siwezi tutafunga tu ndoa bana tatizo tu mboooo ndio ikosane ikiwepo sina shida [emoji23][emoji23][emoji23] ikikosekana tutajua
Bora uishi na zimwi likujualo
UUUWII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Apo mwanamke alikuwa hana namna zaid ya kufunga ndoa tu amekubali kutokana na pressure ya ndugu apo akili ikikaa Sawa baada ya miez sita vitimbwi vitaanza
 
Apo mwanamke alikuwa hana namna zaid ya kufunga ndoa tu amekubali kutokana na pressure ya ndugu apo akili ikikaa Sawa baada ya miez sita vitimbwi vitaanza
Kwanini na Umejuaje vitimbwi vitaanza?
 
Apo mwanamke alikuwa hana namna zaid ya kufunga ndoa tu amekubali kutokana na pressure ya ndugu apo akili ikikaa Sawa baada ya miez sita vitimbwi vitaanza
Yaan vitimbwi vianze kwa sababu mwenzake kakatwa mguu?
 
Kwa sisi waislam ndoa haipati baraka mpaka kijiti kizame ndani ya mhusika. Sijui kwenu nyinyi inakuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…