ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kabla hujataka msaada kutoka Urusi nyinyi mlisha isaidia nn Urusi?Russia jana imetangaza inatuma meli yenye shehena ya madawa,vyakula kusaidia wakimbizi wa Sudan waliokimbilia Chad!!!! zawadi na nipo serious, nitajie mradi wowote wa kijamii hapa nchini ambao upo bankrolled na Russia [emoji635], Zawadi ya 50k tshs itakufikia bila vikwazo
Kwa hiyo nyinyi waafrika mungu aliwaumba mje hapa duniani kukaa tu na msubili watu weupe wawaletee misaada ?
Siku zote mtu anaye kufanya uwe tegemezi kwake ndo adui namba moja katika maisha yako.