Wamejitahidi kuficha mwisho wamekubali kuwa Patriot Air Defense System imeshachakazwa na makombora hatari ya Urusi

Unafahamu gaidi ni nani au ugaidi ni nini? Kama anachofanya urusi hapo Ukraine ni ugaidi basi gaidi mkuu ni USA na NATO maana wameshafanya hayo mambo sehemu nyingi tu hapa duniani
Nyiny watu ni sawa na wehu , hoja ni kinachoendelea ukraine ni ugaidi au sio ugaidi , hoja sio kati ya Urusi na USA nan gaidi zaid ! , zile tafit za 3/4 ya wabong ni wehu ndo inajithibitisha ss hv
 
Bongo wehu kuanzia viongozi hadi wananchi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom