Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Nakuona kwenye ubora wakoCCM wakifungulia troops zao ziwavuruge chadema kwenye mikutano na matukio, watalia, CDM waache siasa za uchokozi, usimchezee chatu.... Oohh chatu ehhee... Gongo usimtupie.... Utaukosa ushindi
Lazima mwisho wasiku wateke, huu mchezo wao wanashindwa tuu mana wapo wachache 😆Hii nimeipenda sana
Ccm kuandaa watu wake ili waende kusema walichowatuma
Ninaomba, CCM wasiteke watu kwa jambo hili
Njia walioanzisha, sasa ni ruksa hata akiwa anahutubia Samia kumwambia wazi wazi kwamba, No reforms no election
Kazi ndo imenoga sasa! Tusitekane tu
Ndo mtajua hamjui, kamuulizeni Msigwa,
😁😁😁
No reforms no election ✌
digital platform ni uwanja mpya wenye nguvu miaka hii , ccm inabidi itoke kwenye mindset za 1970s,1980s, kizazi kimebadilikaMtoto anaruhusiwa kuchezea sharubu za baba
Hayo mawazo yako CCM machampioni wa mabadiliko tayari wanayodigital platform ni uwanja mpya wenye nguvu miaka hii , ccm inabidi itoke kwenye mindset za 1970s,1980s, kizazi kimebadilika
Hizo kauli za kiswahili hazifanyi kazi, kizaz kinataka matokeo na hakina aibu tena
Edition hiii hakuna kitu kama hiiWamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
View attachment 3361201
Hii ni artificial intelligence video hakuna video kama hii ni uongo mtupuWamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
View attachment 3361201
Haujistukii mjomba 😀😀Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Hii video ni upotoshaji siyo real video ni artificial intelligenceWamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
View attachment 3361201
EditedWamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
View attachment 3361201
Sio mawazo yangu, ni actual facts in modern days. Good example ni mapinduzi ya misri 2011, tahrir square.Hayo mawazo yako CCM machampioni wa mabadiliko tayari wanayo
MnahangaikaHii ni artificial intelligence video hakuna video kama hii ni uongo mtupu
Amini usiamin CCM ni chama yatima 🤣🤣Mnahangaika