PreGE2025 Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki kwenye Mkutano wa Mnyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
WANANCHI WAIKATAA NO ELECTION, WASEMA OCTOBER TUNATIKI

Msimamo thabiti wa wananchi dhidi ya siasa za vitisho na kuvuruga Amani, wakazi wa Wilaya ya Kondoa wamejitokeza kwa wingi kupinga kampeni ya "No Reforms No Election" wakisema haitawakilisha maslahi yao wala matarajio yao ya maendeleo.

Wakitoa msimamo wao katika Mkutano wa Chadema uliofanyika Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, wananchi hao wameeleza kuchoshwa na siasa za kupandikiza hofu, chuki, kutishia kutoshiriki uchaguzi, na kutumia lugha za matusi kama "kupakwa kinyesi" kwa yeyote anayeamini katika mchakato wa kidemokrasia.

"Hatuwezi kurudi nyuma. Tunataka maendeleo, siyo maigizo ya kisiasa. October tunatiki na tunachagua viongozi wetu," alisema mama mmoja mkazi wa Kondoa mjini.

Taarifa hii inakuja wakati ambapo baadhi ya makundi yamekuwa yakiendeleza harakati za kuvuruga uchaguzi kwa kisingizio cha kutokuwepo kwa marekebisho ya kisiasa. Hata hivyo, wananchi wa Kondoa wameonyesha kuwa siasa za matusi hazina nafasi katika jamii yao yenye mshikamano, utu, na matumaini ya maendeleo.
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2025-06-09 at 03.06.51 (1).mp4
    7.3 MB
20250609_120812.jpg
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
WANANCHI WAIKATAA NO ELECTION, WASEMA OCTOBER TUNATIKI

Msimamo thabiti wa wananchi dhidi ya siasa za vitisho na kuvuruga Amani, wakazi wa Wilaya ya Kondoa wamejitokeza kwa wingi kupinga kampeni ya "No Reforms No Election" wakisema haitawakilisha maslahi yao wala matarajio yao ya maendeleo.

Wakitoa msimamo wao katika Mkutano wa Chadema uliofanyika Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, wananchi hao wameeleza kuchoshwa na siasa za kupandikiza hofu, chuki, kutishia kutoshiriki uchaguzi, na kutumia lugha za matusi kama "kupakwa kinyesi" kwa yeyote anayeamini katika mchakato wa kidemokrasia.

"Hatuwezi kurudi nyuma. Tunataka maendeleo, siyo maigizo ya kisiasa. October tunatiki na tunachagua viongozi wetu," alisema mama mmoja mkazi wa Kondoa mjini.

Taarifa hii inakuja wakati ambapo baadhi ya makundi yamekuwa yakiendeleza harakati za kuvuruga uchaguzi kwa kisingizio cha kutokuwepo kwa marekebisho ya kisiasa. Hata hivyo, wananchi wa Kondoa wameonyesha kuwa siasa za matusi hazina nafasi katika jamii yao yenye mshikamano, utu, na matumaini ya maendeleo.
No reforms, No elections. Imewaingia wananchi vilivyo
 
Wanatiki against nani? Hawa wengi ni viazi tu
 
Palipojaa umasikini ndio nyumba ya Ujinga, Iangalie hali ya watu wa Kondoa kimaisha
 
Wanasema kuwa mtu akizeeka sana huwa anarudi kuwa mtoto. Naona wamekosa mbinu
 
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reform no election.
 
..Ccm wakaribishwe kwenye mikutano ya Chadema ili kuwe na midahalo ya wazi kuhusu kinachoendelea nchini.
 
Back
Top Bottom