PreGE2025 Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki kwenye Mkutano wa Mnyika

PreGE2025 Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki kwenye Mkutano wa Mnyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
fanyeni uchaguzi huru na haki,msizuie chcohote brother
enzi hizi sio hizoo,hilo zindiko lenu la mwenge soon linaisha
inaweza isiwe leo lakini ipo siku mtatoka
Hongereni wanufaika wa CCM
Uchaguzi ni huru na haki
 
Hii nimeipenda sana

Ccm kuandaa watu wake ili waende kusema walichowatuma

Ninaomba, CCM wasiteke watu kwa jambo hili

Njia walioanzisha, sasa ni ruksa hata akiwa anahutubia Samia kumwambia wazi wazi kwamba, No reforms no election

Kazi ndo imenoga sasa! Tusitekane tu

Ndo mtajua hamjui, kamuulizeni Msigwa,

😁😁😁

No reforms no election ✌

Ndio maana huwa nawaambia watu wa CCM wako nyuma ya muda.
 
Back
Top Bottom