PreGE2025 Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki kwenye Mkutano wa Mnyika

PreGE2025 Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki kwenye Mkutano wa Mnyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Si tunawazaungumzia hao wenye rangi mkuu😅
Wanajua kutoa mzigo..
Nikiwa Dodoma wale warangi wa ushungi ninja nilifuga udevu, niliwala mpaka nikapata kichefuchefu , kipindi kabla sijajitambua huku nashangaa tu nyuzi zao🤣🤣🤣🤣🤣
 
CCM wakifungulia troops zao ziwavuruge chadema kwenye mikutano na matukio, watalia, CDM waache siasa za uchokozi, usimchezee chatu.... Oohh chatu ehhee... Gongo usimtupie.... Utaukosa ushindi
Nyinyi ndiyo msioweza ushindani na kama mnaweza hayo jaribuni ili mwone kama hamtakuja humu na mada kibao za kusema chadema wafungiwe. Hawo mliopanga jee tukiwapanga kwenye mikutano ya ccm wakisema no reform no election hamtawateka??
 
K
Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki

Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.

View attachment 3361201
Kondoa wengi ni wajinga wajinga tu ndio maana umaskini umetamalaki kwenye ukanda huo.kulikuwa na mbunge mmoja hivi alikuwa mtangazaji wa TBC, bungeni alikuwa anachangia vitu vya hivyo hivyo tu.
 
Nyinyi ndiyo msioweza ushindani na kama mnaweza hayo jaribuni ili mwone kama hamtakuja humu na mada kibao za kusema chadema wafungiwe. Hawo mliopanga jee tukiwapanga kwenye mikutano ya ccm wakisema no reform no election hamtawateka??
Unalia nini?
 
Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki

Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.

View attachment 3361201
Kama hujui maana ya hili lilivyo tendeka, ujue huu utakuwa ni mwanzo wa vurugu nchini.

Lakini inawezekana mkadhani njia hii ndiyo itakuwa ahueni kwenu. HAPANA.

CCM na serikali haizuiiwi kufanya mikutano yao, ambako hawa wanaweza kutoa maoni yao hayo; lakini siyo kwenda kwenye mikutano isiyo wahusu na kuleta vurugu.
 
Halafu wanasema tunatiki ni vibibi vya mwaka 1950 ambavyo hudanganywa na ccm Kwa kupewa kanga Moja ya shilingi elfu Tano ili wachague ccm.Wabibi wanaturudisha nyumba kimaendeleo
 
Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki

Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.

View attachment 3361201
Hakuna kusogeza mbele uchaguzi… uchaguzi sio harusi au fundraising

Wao walishajitoa - wabaki home walinde nyumba tu

Waache wenzao waendelee
 
Augustino Mrema alibebwa na kuimbiwa enzi hizo, lakini alikaa, aliimbiwa na watu ambao kumbe hata kadi za kura hawana
fanyeni uchaguzi huru na haki,msizuie chcohote brother
enzi hizi sio hizoo,hilo zindiko lenu la mwenge soon linaisha
inaweza isiwe leo lakini ipo siku mtatoka
Hongereni wanufaika wa CCM
 
Hapo wamepewa vi efu kumikumi wakaseme hivyo. Wakitoka hapo wanaugulia maumivu ya ugumu wa maisha
 
Miongoni mwa wilaya maskini tanzania ni pamoja na Kondoa, mpaka leo bado hawajijatambua kwa hiyo hatuwashangai
 
Back
Top Bottom