Giovanna Upunda
Senior Member
- Aug 11, 2024
- 105
- 48
No reforms, No elections. Imewaingia wananchi vilivyoWANANCHI WAIKATAA NO ELECTION, WASEMA OCTOBER TUNATIKI
Msimamo thabiti wa wananchi dhidi ya siasa za vitisho na kuvuruga Amani, wakazi wa Wilaya ya Kondoa wamejitokeza kwa wingi kupinga kampeni ya "No Reforms No Election" wakisema haitawakilisha maslahi yao wala matarajio yao ya maendeleo.
Wakitoa msimamo wao katika Mkutano wa Chadema uliofanyika Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, wananchi hao wameeleza kuchoshwa na siasa za kupandikiza hofu, chuki, kutishia kutoshiriki uchaguzi, na kutumia lugha za matusi kama "kupakwa kinyesi" kwa yeyote anayeamini katika mchakato wa kidemokrasia.
"Hatuwezi kurudi nyuma. Tunataka maendeleo, siyo maigizo ya kisiasa. October tunatiki na tunachagua viongozi wetu," alisema mama mmoja mkazi wa Kondoa mjini.
Taarifa hii inakuja wakati ambapo baadhi ya makundi yamekuwa yakiendeleza harakati za kuvuruga uchaguzi kwa kisingizio cha kutokuwepo kwa marekebisho ya kisiasa. Hata hivyo, wananchi wa Kondoa wameonyesha kuwa siasa za matusi hazina nafasi katika jamii yao yenye mshikamano, utu, na matumaini ya maendeleo.
Warangi zao waambie weupe tu hawajui chochote zaidi ya ndala za kwenda kuswalia na kuwa mweupe kama mwalabuKikundi cha warangi ndio wananchi?
Msimamo wao ni Tunatiki.No reforms, No elections. Imewaingia wananchi vilivyo
Msimamo wao ni Tunatiki.
Msimamo wao ni KutikiPalipojaa umasikini ndio nyumba ya Ujinga, Iangalie hali ya watu wa Kondoa kimaisha
Masikini ndio mtaji wa ccmMsimamo wao ni Kutiki
Mweh ππππKikundi cha warangi ndio wananchi?
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURAOktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Oktobatunatiki
Na kukandikwa...πWarangi zao waambie weupe tu hawajui chochote zaidi ya ndala za kwenda kuswalia na kuwa mweupe kama mwalabu
Kaka mkubwa nimecheka sana , kukandikwa kivipi etiπ€Na kukandikwa...π
Si tunawazaungumzia hao wenye rangi mkuuπKaka mkubwa nimecheka sana , kukandikwa kivipi etiπ€