Nikiwa Dodoma wale warangi wa ushungi ninja nilifuga udevu, niliwala mpaka nikapata kichefuchefu , kipindi kabla sijajitambua huku nashangaa tu nyuzi zao🤣🤣🤣🤣🤣Si tunawazaungumzia hao wenye rangi mkuu😅
Wanajua kutoa mzigo..
Nyinyi ndiyo msioweza ushindani na kama mnaweza hayo jaribuni ili mwone kama hamtakuja humu na mada kibao za kusema chadema wafungiwe. Hawo mliopanga jee tukiwapanga kwenye mikutano ya ccm wakisema no reform no election hamtawateka??CCM wakifungulia troops zao ziwavuruge chadema kwenye mikutano na matukio, watalia, CDM waache siasa za uchokozi, usimchezee chatu.... Oohh chatu ehhee... Gongo usimtupie.... Utaukosa ushindi
Kondoa wengi ni wajinga wajinga tu ndio maana umaskini umetamalaki kwenye ukanda huo.kulikuwa na mbunge mmoja hivi alikuwa mtangazaji wa TBC, bungeni alikuwa anachangia vitu vya hivyo hivyo tu.Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
View attachment 3361201
Utafanya nnOLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
No reform no election.
Unalia nini?Nyinyi ndiyo msioweza ushindani na kama mnaweza hayo jaribuni ili mwone kama hamtakuja humu na mada kibao za kusema chadema wafungiwe. Hawo mliopanga jee tukiwapanga kwenye mikutano ya ccm wakisema no reform no election hamtawateka??
Mimi sijalia ila hayo ndio ukweli wenyewe.Unalia nini?
Kama hujui maana ya hili lilivyo tendeka, ujue huu utakuwa ni mwanzo wa vurugu nchini.Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
View attachment 3361201
No reform no electionUtafanya nn
Mshana Jr Erythrocyte Retired mnaona sasa!!! Mlianzisha nyie yamewageukaWamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
View attachment 3361201
Wan awake ndio wanatiki😂😂😂Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
View attachment 3361201
Si haba kama umeona hivoWan awake ndio wanatiki😂😂😂
Karibu tena
Hakuna kusogeza mbele uchaguzi… uchaguzi sio harusi au fundraisingWamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
View attachment 3361201
fanyeni uchaguzi huru na haki,msizuie chcohote brotherAugustino Mrema alibebwa na kuimbiwa enzi hizo, lakini alikaa, aliimbiwa na watu ambao kumbe hata kadi za kura hawana
#OktobatunatikinaSamiaWamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki