Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
Huyu mpwa wangu tangu akiwa tumboni mimi ndo nilikuwa nimebeba majukumu ya sista (mtoto wa ma mkubwa) kumlea na kila kitu. Yaani hadi anafika umri huu kila kitu kinachohusiana na mahitaji yake mimi ndo niliyebeba kwa 100% baada ya boya mmoja kukimbia majukumu punde tu alipomwaga tui lake kwa sista.
Mi nikasema sio kesi huyu ni ndugu yangu maana tumekuwa wote pamoja yaani Kuna ile bond kubwa sana kati yetu na watoto wengine wote tuliolelewa pamoja hivyo ikaniwia ngumu Mimi kumtosa hata kama aliyatimba mwenyewe maana ni damu yangu kabisa.
Sasa hapa juzi kati napigiwa simu na sista anaomba nimuongezee hela kidogo kwa ajili ya ngariba na mambo mengine ya matibabu ili wamtahiri maana wameshauriana na baba yake eti mtoto wamtahiri Sasa hivi. Aisee siku hiyo nilichafukwa sista hakuamini nilimtolea mitusi kuanzia yeye hadi bwanake
Ukiachia mbali dharau ambayo bwanake ameionesha kwanza unawezaje kukatahiri katoto ka miaka minne!, govi hata halijakomaa wanataka mpwa wangu aje kuwa kibamia baadaye, nikawaambia wakitaka waujue utaahira wangu wathubutu hata kumchuna huyo dogo hilo govi. Kwahiyo wanataka mjomba angu baadaye asipige yope vizuri akiwa na kizambarau? Nimemwambia aache mapepe asubiri afike angalau darasa la 5 asije akaaibisha ukoo kwa sifa mbovu ya kibamia cha kujitakia.
Mtoto hata kachululuu hakajapata protini, mishipa haijakomaa, steki zenyewe hazina mafuta wala ujazo wa nyama halafu anataka kukitaka kinaniliu kwa rika hili!!?
Aah wee!