Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Shule za serikali bado kuna changamoto za kutosha. Kwa mfano Kuna shule moja huko Mbagala Darasa moja lina wanafunzi 700. Kila mkondo wanafunzi takribani 100.Tafuta pesa upeleke mtoto wako shule nzuri. Mtu mwenye uchumi mzuri hawezi peleka mtoto wake Kayumba school.
Mtaala mpya haujabadili lolote la kufanya English Medium schools zikose relevance.
Hawa jamaa wananilia bundle sana wapuuzi hawa...nshakuwa mraibu kuwasikiliza
How? Substantiate itHuejielewi.
Mleta mada ni muongo.Ni criteria zipi za mtaala mpya zilizo chochea wazazi kundoa watoto wao English Medium?
700 au 70 mkuu?Shule za serikali bado kuna changamoto za kutosha. Kwa mfano Kuna shule moja huko Mbagala Darasa moja lina wanafunzi 700. Kila mkondo wanafunzi takribani 100.
St Kayumba iliyochangamka 😅😅😅English medium schools ni hizi ; Tanganyika international school, Shaban Robert, Olympio, Moshi international school, etc. Kama mtoto wako hasomi hizo hapo, jua unasomesha mtoto wako St. Kayumba B🤣🤣🤣
Ni 700 sio 70. Yaani 70 hadi 100 ni idadi ya mkondo mmoja. Jaribu kuwaza mwalimu anayefundisha darasa lenye wanafunzi 100. Hata matokeo ya darasa la 7 mwaka jana ya hiyo shule wengi wamepata alama wastani wa C na D. Waliopata wastani wa daraja A hawazidi 10.700 au 70 mkuu?
700 hilo darasa kama uwanja wa mpira ama!?
Mashirika yako mangapi na wanaosoma wapo wangapi??? Ukuu wa mkoa wenyewe sahau kabisaa.Wakati huo watoto wa wenzako wakilamba teuzi za ukurugenzi wa mashirika na ukuu wa mikoa.
Wewe mtoto wako yuko dukani anahesabu vijisenti.
Ha ha ha Ikifuatia kauli kataa uvivu na umaskini tufanye kazi itakuwa tumefika mahali hakika, hiki kinachoendelea ni kauli tu za wakosaji zinazotafuta justification za wajinga wenzao.Hahaha
Kataa ndoa, single mothers, English medium schools....
Kanyaga twende!!!!
What next????
Tunasubiri....
Ila Tanzanians tupige kazi jamani, kila mtu Kwa nafasi yake...
Aina za posts tu zinasadifu kinachoendelea nchini.
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu wapeleke watoto st kayumba?Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...
Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Mimi nauliza na naombeni mnijibu, usahili wa ajira iwe sekta binafsi ama serikalini zinafanywa Kwa kutumia lugha ya malkia na tunaambiwa kwenye mtaala mpya kwenye shule za serikali lugha ya kingereza itakuwa kama somo na sio lugha ya kufundishia je wanawaandaa watoto wetu waje kuongea Nini kwenye sahili za kazi huko mbeleni?
AfafanueMtaala mpya unaathiri vipi hizo shule za EMs?
Mwanangu akimaliza darasa la saba anaanza kushinda dukani kwangu