Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Shule za serikali bado kuna changamoto za kutosha. Kwa mfano Kuna shule moja huko Mbagala Darasa moja lina wanafunzi 700. Kila mkondo wanafunzi takribani 100.Tafuta pesa upeleke mtoto wako shule nzuri. Mtu mwenye uchumi mzuri hawezi peleka mtoto wake Kayumba school.
Mtaala mpya haujabadili lolote la kufanya English Medium schools zikose relevance.