Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
wewe jamaa taahira sanaMwanangu akimaliza darasa la saba anaanza kushinda dukani kwangu
Unakitu mkuu, usikilizwe upesi.Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
nonsenseTatizo unawaonea wivu wazazi wanaosomesha Kayumba. 🤣🤣🤣🤣wenzako wanasomesha bila stress wewe unaenda kukopa vikoba watoto wasome halafu ndio umetoka kulipa ada Jumamosi lazima ujisikie Vibaya.
Anyways bado hujachelewa.
Haya Sasa twende Kazi, kimbia haraka Sana nenda shule ya EM kamtoe mtoto wako mrudishe Kayumba. You will thank me later.
🙏🙏🙏🙏🙏
nonsense
halafu mtu wa kitambo humu,nikajuaga una hela kumbe masikini tu.....
yaani upo hapa nashabikia "kayumba",really?
kayumba tulikopita hakuna walimu,maabara hakuna hata reagent moja,umeme unakatika wanadaiwa,chakula kibovu,watoto wanajifundisha wenyewe
,kama huna akili unafeli,
mazingira hatarishi,eti ndio unasema ni shule za maana?
hiyo hela uliyonayo ni ya watoto sio yako,unafeki kuwapeleka kayumba chenchi ule,punguani wewe
HehhKwani si umeambiwa kiingereza kitatumika kama somo. Halafu mkuu inaonekana wewe mind yako inakwambia Sasa hivi ni mwaka 1985. Yani bado unawaza tu kuhusu interview?
Wake up bro
MkuuPoint yako ipo hapa mkuu 👆
Mimi watoto wangu Wana akili mkuu.. Wewe wako wapeleke Ems Kwa sababu hela zako hazina Kazi.
Mimi siwezi kutoa hela yangu kwenye shule inayo tumia mtaala wa Necta. .
Kama upo serious na elimu ya watoto wako wapeleke kwenye international schools ada kuanzia Dola elfu 30 Kwa mwaka.
Chini na tofauti na hapo unakuwa unafanya Kazi ya kubaka moto unaungua mavuzi.
Hehh
Bro unadhani kazi za ajira watu wanasahiliwa kwa Kiswahili?
Tuna bidhaa tunataka tukauze huko duniani,tunaenda kuuza kwa Kiswahili mkuu?
Tangu lini?
Una nguvu kazi unataka ikafanye kazi huko duniani ilete dollar hapa,unaipeleka kwa Kiswahili?
Again kama sehemu wanayo taka Ku invest ni muhimu kwao then lugha haiwezi kuwa tatizo.Unataka wa nje waje hapa kuwekeza na kuleta maarifa,utaongea nao Kiswahili mzee?
Unataka kwenda kufundisha Kiswahili nje ya nchi ili upate kipato na kukiendeleza hicho Kiswahili kifike mbali kama unavyotaka,unaenda kufundisha bila kujua Kingereza kwanza?
Au umesahau Kiswahili hakifundishiki kwa foreigners kama mfundishaji hajui Kingereza ili aweze kufundisha Kiswahili?
Au wewe ulidhani unavamia darasa tu hujui English ukaingia na kuanza kufundisha Kiswahili kama juha?
Una malaria wewe
Mkuu
Nimeshajua,huna hela!
Huna disposable income ya kusomesha watoto na roho isikuume.
Unadai wanao wana AKILI........wana AKILI umejuaje?
Wana AKILI against who?Umewapima na nani kwenye standardized tests sio mambo ya kutumia macho?
Kwahiyo mtoto akiwa na akili according to you basi anatakiwa apelekwe shule za hovyo zisizo na walimu,etc za Kayumba?
Hao wanaowapeleka za EM zenye mitaala ya NECTA private schools zenye uwajibikaji na vifaa ni bora kuliko huo usenge wenu wa pure kayumba
Mimi binafsi sipendi mtaala wa NECTA niliusoma na sitakaa nipitishe watoto wangu kwenye ujinga huo,napenda mtaala wa IB na huo ndio nasomeshea hata niwe masikini vipi ni heri nife kuliko wasisome hii IB
Mkuu
Nimeshajua,huna hela!
Huna disposable income ya kusomesha watoto na roho isikuume.
Unadai wanao wana AKILI........wana AKILI umejuaje?
Wana AKILI against who?Umewapima na nani kwenye standardized tests sio mambo ya kutumia macho?
Kwahiyo mtoto akiwa na akili according to you basi anatakiwa apelekwe shule za hovyo zisizo na walimu,etc za Kayumba?
Hao wanaowapeleka za EM zenye mitaala ya NECTA private schools zenye uwajibikaji na vifaa ni bora kuliko huo usenge wenu wa pure kayumba
Mimi binafsi sipendi mtaala wa NECTA niliusoma na sitakaa nipitishe watoto wangu kwenye ujinga huo,napenda mtaala wa IB na huo ndio nasomeshea hata niwe masikini vipi ni heri nife kuliko wasisome hii IB
Muongo!Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...
Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Wengine tunapenda kulipia!Mtaala ni ule ule tofauti ni kwamba Huko Ems unalipia ila Kayumba hulipii so wazazi wanaona yanini mateso
Huna hela bwana acha kujifaragua hapaMimi Sio kilaza mkuu . Nime graduate 2011 ila sijui hata kuandika barua ya kuomba Kazi mi najua kuandika cheque tu utadhani nimetoka Czechoslovakia
Wewe nae kiaziNyerere alikuwa sahihi. Ujinga ni kumpeleka mtoto Ems wakati huna hata kiwanja
hakuna difference kati ya kuajiriwan na kujiajiriBro your mindset has stuck in the 80s. You think 2025 is 1985. Haya mawazo yako yalikuwa valid from 1985 kushika.
Kama karne hii bado unawaza kusoma ili uajiriwe then there is no hope to your future.
Hao wateja wakutafute au wewe uwatafute utawauzia kwa English hakuna Kiswahili popoteKama bidhaa unayo uza ina soko na inahitajika Wao wenyewe watakufuata kununua. Kuna watu wanalima ( jina la zao kapuni) kule Lushoto na Mufindi. Wazungu wanafunga safari hadi Tanzania kuja kununua hilo zao.
Huna hela bwana acha kujifaragua hapa
Mtu mwenye hela hua anapata muda wa kudiscuss kuwanyima watoto wake shule za kishua kweli?
Kama dollar 12,000 USD mpaka 30,000 USD za shule zinakushinda,utaweza dollar 60,000USD Mpaka 80,000USD za University US,Canada or UK kweli?
Au na University utawapeleka Lushoto au Training Centre colleges huko Bunda?
Takataka wewe mtu,huna maana!
hakuna difference kati ya kuajiriwan na kujiajiri
nadhani huna akili sawa sawa
wewe ulidanganywa kujiajiri sio ajira?ni kuajiriwa ila kwa kinyume
independent kabisa ni yule mtu anaitwa Investor,anaekaa nyumbani hela yake works for him sio wewe unaeshinda ofisini unasimamia biashara kama muajiriwa wa kawaida hamna tofauti
regardless,ukijiajiri kuna siku utahojiwa na mteja ueleze una uwezo gani kumpa huduma fulani kabla hajakupa mkataba,na hiyo interview mkuu ni English na mikataba yenyewe imeandikwa English,kama hujui ndugu inabidi uwe unafanya biashara za genge kuuza nyanya tu
Mkuu mbona unakua mnafiki kiasi hiki?Alie kwambia mtu akisoma Kayumba hawezi kuzungumza kiingereza nani. Unakuwa Upo so much obsessed na kiingereza? Kiingereza ni lugha kama Kihaya au kichaga don't be so much obsessed
Uwe unajua English au haujui you will always need a lawyer when it comes to contractual agreements. Legal English is far away much different from your regular English.Hao wateja wakutafute au wewe uwatafute utawauzia kwa English hakuna Kiswahili popote
Aidha wewe uende kwao au yeye aje hapa ndugu yangu ni English tu hakuna Kiswahili mahali popote
Kumbuka mikataba yako na wao ni English,siku mkishindwana mkaenda mahakamani kesi zinaendeshwa kwa English na hukumu zinaandikwa kwa English hapa hapa nchini kwako unapodai ni Kiswahili
Sasa sijui utafanyeje biashara dunia hii bila English?
Utakua na kichaa,tena kibaya sana!
Usahili ni aidha wa kazi ya kuajiriwa au umejiari unataka mkataba wa huduma kwa mteja wako mkubwaHukumaanisha hivyo mkuu. Ulizungumza kuhusu usaili wa nafasi ya Kazi.
HahahaaaaUwe unajua English au haujui you will always need a lawyer when it comes to contractual agreements. Legal English is far away much different from your regular English.
Anyways mbona una kiogopa Sana kiingereza?
Kiingereza ni lugha tu kama kihaya. Kama unaona deal Sana wewe soma ntakuajiri uje Uwe mkalimani wangu