Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Mwanangu akimaliza darasa la saba anaanza kushinda dukani kwangu
wewe jamaa taahira sana

kila mtu mtoto wake akishinda dukani kwake,utafanyiwa operation na nani?utapanda ndege ikiendeshwa na pilot yupi?barabara na madaraja na majengo makubwa na viwanda vijengwe na nani?

kumamayo wewe

jinga kabisa
 
Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Unakitu mkuu, usikilizwe upesi.
 
Tatizo unawaonea wivu wazazi wanaosomesha Kayumba. 🤣🤣🤣🤣wenzako wanasomesha bila stress wewe unaenda kukopa vikoba watoto wasome halafu ndio umetoka kulipa ada Jumamosi lazima ujisikie Vibaya.

Anyways bado hujachelewa.

Haya Sasa twende Kazi, kimbia haraka Sana nenda shule ya EM kamtoe mtoto wako mrudishe Kayumba. You will thank me later.

🙏🙏🙏🙏🙏
nonsense

halafu mtu wa kitambo humu,nikajuaga una hela kumbe masikini tu.....

yaani upo hapa nashabikia "kayumba",really?

kayumba tulikopita hakuna walimu,maabara hakuna hata reagent moja,umeme unakatika wanadaiwa,chakula kibovu,watoto wanajifundisha wenyewe,kama huna akili unafeli,mazingira hatarishi,eti ndio unasema ni shule za maana?

hiyo hela uliyonayo ni ya watoto sio yako,unafeki kuwapeleka kayumba chenchi ule,punguani wewe
 
nonsense

halafu mtu wa kitambo humu,nikajuaga una hela kumbe masikini tu.....

yaani upo hapa nashabikia "kayumba",really?

kayumba tulikopita hakuna walimu,maabara hakuna hata reagent moja,umeme unakatika wanadaiwa,chakula kibovu,watoto wanajifundisha wenyewe

,kama huna akili unafeli,

Point yako ipo hapa mkuu 👆

Mimi watoto wangu Wana akili mkuu.. Wewe wako wapeleke Ems Kwa sababu hela zako hazina Kazi.

Mimi siwezi kutoa hela yangu kwenye shule inayo tumia mtaala wa Necta. .

Kama upo serious na elimu ya watoto wako wapeleke kwenye international schools ada kuanzia Dola elfu 30 Kwa mwaka.

Chini na tofauti na hapo unakuwa unafanya Kazi ya kubaka moto unaungua mavuzi.
mazingira hatarishi,eti ndio unasema ni shule za maana?

hiyo hela uliyonayo ni ya watoto sio yako,unafeki kuwapeleka kayumba chenchi ule,punguani wewe
 
Kwani si umeambiwa kiingereza kitatumika kama somo. Halafu mkuu inaonekana wewe mind yako inakwambia Sasa hivi ni mwaka 1985. Yani bado unawaza tu kuhusu interview?

Wake up bro
Hehh

Bro unadhani kazi za ajira watu wanasahiliwa kwa Kiswahili?

Tuna bidhaa tunataka tukauze huko duniani,tunaenda kuuza kwa Kiswahili mkuu?

Tangu lini?

Una nguvu kazi unataka ikafanye kazi huko duniani ilete dollar hapa,unaipeleka kwa Kiswahili?

Unataka wa nje waje hapa kuwekeza na kuleta maarifa,utaongea nao Kiswahili mzee?

Unataka kwenda kufundisha Kiswahili nje ya nchi ili upate kipato na kukiendeleza hicho Kiswahili kifike mbali kama unavyotaka,unaenda kufundisha bila kujua Kingereza kwanza?

Au umesahau Kiswahili hakifundishiki kwa foreigners kama mfundishaji hajui Kingereza ili aweze kufundisha Kiswahili?

Au wewe ulidhani unavamia darasa tu hujui English ukaingia na kuanza kufundisha Kiswahili kama juha?

Una malaria wewe
 
Point yako ipo hapa mkuu 👆

Mimi watoto wangu Wana akili mkuu.. Wewe wako wapeleke Ems Kwa sababu hela zako hazina Kazi.

Mimi siwezi kutoa hela yangu kwenye shule inayo tumia mtaala wa Necta. .

Kama upo serious na elimu ya watoto wako wapeleke kwenye international schools ada kuanzia Dola elfu 30 Kwa mwaka.

Chini na tofauti na hapo unakuwa unafanya Kazi ya kubaka moto unaungua mavuzi.
Mkuu

Nimeshajua,huna hela!

Huna disposable income ya kusomesha watoto na roho isikuume

Unadai wanao wana AKILI........wana AKILI umejuaje?

Wana AKILI against who?Umewapima na nani kwenye standardized tests sio mambo ya kutumia macho?

Kwahiyo mtoto akiwa na akili according to you basi anatakiwa apelekwe shule za hovyo zisizo na walimu,etc za Kayumba?

Hao wanaowapeleka za EM zenye mitaala ya NECTA private schools zenye uwajibikaji na vifaa ni bora kuliko huo usenge wenu wa pure kayumba

Mimi binafsi sipendi mtaala wa NECTA niliusoma na sitakaa nipitishe watoto wangu kwenye ujinga huo,napenda mtaala wa IB na huo ndio nasomeshea hata niwe masikini vipi ni heri nife kuliko wasisome hii IB
 
Hehh

Bro unadhani kazi za ajira watu wanasahiliwa kwa Kiswahili?

Bro your mindset has stuck in the 80s. You think 2025 is 1985. Haya mawazo yako yalikuwa valid from 1985 kushika.

Kama karne hii bado unawaza kusoma ili uajiriwe then there is no hope to your future.
Tuna bidhaa tunataka tukauze huko duniani,tunaenda kuuza kwa Kiswahili mkuu?

Kama bidhaa unayo uza ina soko na inahitajika Wao wenyewe watakufuata kununua. Kuna watu wanalima ( jina la zao kapuni) kule Lushoto na Mufindi. Wazungu wanafunga safari hadi Tanzania kuja kununua hilo zao.
Tangu lini?

Una nguvu kazi unataka ikafanye kazi huko duniani ilete dollar hapa,unaipeleka kwa Kiswahili?

Kwanini unawaza kwenda nje tu mkuu kwani Tanzania hakuna fursa?

Once again kama hiyo nguvu kazi ndio inayo hitajika, kiingereza hakiwezi kuwa tatizo.

Halafu kitu gani kinacho kufanya uone mtu alie soma Kayumba hawezi kuongea kiingereza?
Unataka wa nje waje hapa kuwekeza na kuleta maarifa,utaongea nao Kiswahili mzee?
Again kama sehemu wanayo taka Ku invest ni muhimu kwao then lugha haiwezi kuwa tatizo.

Again kipi kinakufanya uwaze mtu alie soma Kayumba hawezi kuwasiliana Kwa kiingereza.
Unataka kwenda kufundisha Kiswahili nje ya nchi ili upate kipato na kukiendeleza hicho Kiswahili kifike mbali kama unavyotaka,unaenda kufundisha bila kujua Kingereza kwanza?

Au umesahau Kiswahili hakifundishiki kwa foreigners kama mfundishaji hajui Kingereza ili aweze kufundisha Kiswahili?

Alie kwambia mtu akisoma Kayumba hawezi kuzungumza kiingereza nani. Unakuwa Upo so much obsessed na kiingereza? Kiingereza ni lugha kama Kihaya au kichaga don't be so much obsessed
Au wewe ulidhani unavamia darasa tu hujui English ukaingia na kuanza kufundisha Kiswahili kama juha?

Una malaria wewe
 
Mkuu

Nimeshajua,huna hela!

Umekuwa mganga mara hii? Duh
Huna disposable income ya kusomesha watoto na roho isikuume.

Situmii hela hovyo Kwa kuwa ninayo. There is no value for money.
Unadai wanao wana AKILI........wana AKILI umejuaje?

Wana AKILI against who?Umewapima na nani kwenye standardized tests sio mambo ya kutumia macho?

Si Kwa kutumia viwango hivyo hivyo vya NECTA. Kama mtoto anasoma Kayumba na darasa la 4 kapata A zote ikiwemo English kwanini nisiseme ana akili?
Kwahiyo mtoto akiwa na akili according to you basi anatakiwa apelekwe shule za hovyo zisizo na walimu,etc za Kayumba?

Mkuu nitake radhi. Shule za Kayumba Sio za hovyo tafadhali.

As a matter of fact, I was responding to your comment. Umesema mwenyewe kama mtoto hana akili hawezi kuelewa Kayumba
Hao wanaowapeleka za EM zenye mitaala ya NECTA private schools zenye uwajibikaji na vifaa ni bora kuliko huo usenge wenu wa pure kayumba

Ni bora how?
Mimi binafsi sipendi mtaala wa NECTA niliusoma na sitakaa nipitishe watoto wangu kwenye ujinga huo,napenda mtaala wa IB na huo ndio nasomeshea hata niwe masikini vipi ni heri nife kuliko wasisome hii IB

Usisahau kuna kufa mkuu. Don't spend too much on school fees.
 
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .

Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.

Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...

Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.

Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Muongo!
 
Mimi Sio kilaza mkuu . Nime graduate 2011 ila sijui hata kuandika barua ya kuomba Kazi mi najua kuandika cheque tu utadhani nimetoka Czechoslovakia
Huna hela bwana acha kujifaragua hapa

Mtu mwenye hela hua anapata muda wa kudiscuss kuwanyima watoto wake shule za kishua kweli?

Kama dollar 12,000 USD mpaka 30,000 USD za shule zinakushinda,utaweza dollar 60,000USD Mpaka 80,000USD za University US,Canada or UK kweli?

Au na University utawapeleka Lushoto au Training Centre colleges huko Bunda?

Takataka wewe mtu,huna maana!
 
Bro your mindset has stuck in the 80s. You think 2025 is 1985. Haya mawazo yako yalikuwa valid from 1985 kushika.

Kama karne hii bado unawaza kusoma ili uajiriwe then there is no hope to your future.
hakuna difference kati ya kuajiriwan na kujiajiri

nadhani huna akili sawa sawa

wewe ulidanganywa kujiajiri sio ajira?ni kuajiriwa ila kwa kinyume

independent kabisa ni yule mtu anaitwa Investor,anaekaa nyumbani hela yake works for him sio wewe unaeshinda ofisini unasimamia biashara kama muajiriwa wa kawaida hamna tofauti

regardless,ukijiajiri kuna siku utahojiwa na mteja ueleze una uwezo gani kumpa huduma fulani kabla hajakupa mkataba,na hiyo interview mkuu ni English na mikataba yenyewe imeandikwa English,kama hujui ndugu inabidi uwe unafanya biashara za genge kuuza nyanya tu
 
Kama bidhaa unayo uza ina soko na inahitajika Wao wenyewe watakufuata kununua. Kuna watu wanalima ( jina la zao kapuni) kule Lushoto na Mufindi. Wazungu wanafunga safari hadi Tanzania kuja kununua hilo zao.
Hao wateja wakutafute au wewe uwatafute utawauzia kwa English hakuna Kiswahili popote

Aidha wewe uende kwao au yeye aje hapa ndugu yangu ni English tu hakuna Kiswahili mahali popote

Kumbuka mikataba yako na wao ni English,siku mkishindwana mkaenda mahakamani kesi zinaendeshwa kwa English na hukumu zinaandikwa kwa English hapa hapa nchini kwako unapodai ni Kiswahili

Sasa sijui utafanyeje biashara dunia hii bila English?

Utakua na kichaa,tena kibaya sana!
 
Huna hela bwana acha kujifaragua hapa

Mtu mwenye hela hua anapata muda wa kudiscuss kuwanyima watoto wake shule za kishua kweli?

Kama dollar 12,000 USD mpaka 30,000 USD za shule zinakushinda,utaweza dollar 60,000USD Mpaka 80,000USD za University US,Canada or UK kweli?

Au na University utawapeleka Lushoto au Training Centre colleges huko Bunda?

Takataka wewe mtu,huna maana!
hakuna difference kati ya kuajiriwan na kujiajiri

nadhani huna akili sawa sawa

wewe ulidanganywa kujiajiri sio ajira?ni kuajiriwa ila kwa kinyume

Hukumaanisha hivyo mkuu. Ulizungumza kuhusu usaili wa nafasi ya Kazi.
independent kabisa ni yule mtu anaitwa Investor,anaekaa nyumbani hela yake works for him sio wewe unaeshinda ofisini unasimamia biashara kama muajiriwa wa kawaida hamna tofauti

regardless,ukijiajiri kuna siku utahojiwa na mteja ueleze una uwezo gani kumpa huduma fulani kabla hajakupa mkataba,na hiyo interview mkuu ni English na mikataba yenyewe imeandikwa English,kama hujui ndugu inabidi uwe unafanya biashara za genge kuuza nyanya tu

Between me and u the one who is afraid of English is u.

Yani umesoma lakini bado una ogopa kiingereza. U need to be liberated. Kiingereza ni kama kichaga tu
 
Alie kwambia mtu akisoma Kayumba hawezi kuzungumza kiingereza nani. Unakuwa Upo so much obsessed na kiingereza? Kiingereza ni lugha kama Kihaya au kichaga don't be so much obsessed
Mkuu mbona unakua mnafiki kiasi hiki?

Aliesoma Kayumba English hajui vizuri kama aliesoma English Medium mkuu,this is well known na tunawaona mtaani

Usijitoe ufahamu kusukuma ajenda yako ya hovyo

Ukitaka kuuza kitu duniani huko ni lazima uwafikie hao watu huko duniani,ni lazima uwafikie kwa English na sio Kiswahili

Kujifanya eti watakuja wenyewe TZ ni usengerema wa ajabu maana watakujuaje bila wewe kujitambulisha kwao kabla hawajaja?

Yaani waje blindly tu wakutane na wewe bahati mbaya barabarani ndio wajue una bidhaa fulani?

Ni vizuri unawaza kuwa tabata la chini namna hii....na matabaka hua yanaletwa na elimu nzuri na mbaya

kwa takwimu watu wa tabata la chini hua wengi wamesoma elimu hovyo za serikali

kwa takwimu pia watu wa tabata la juu hua wamesoma elimu serious zinasimamiwa seriously na zenye vifaa seriously na ufatiliaji seriou za private schools

wewe kama umeamua kutowapa watoto wako tools na nyenzo imara za kielimu ili wapambane na mazingira yao kirahisi ili wafanikiwe correctly unawapa kazi kubwa zaidi,wanaweza wasifeli ila unawawekea ugumu usio na maana wakati mzazi wao una kipato
 
Hao wateja wakutafute au wewe uwatafute utawauzia kwa English hakuna Kiswahili popote

Aidha wewe uende kwao au yeye aje hapa ndugu yangu ni English tu hakuna Kiswahili mahali popote

Kumbuka mikataba yako na wao ni English,siku mkishindwana mkaenda mahakamani kesi zinaendeshwa kwa English na hukumu zinaandikwa kwa English hapa hapa nchini kwako unapodai ni Kiswahili

Sasa sijui utafanyeje biashara dunia hii bila English?

Utakua na kichaa,tena kibaya sana!
Uwe unajua English au haujui you will always need a lawyer when it comes to contractual agreements. Legal English is far away much different from your regular English.

Anyways mbona una kiogopa Sana kiingereza?

Kiingereza ni lugha tu kama kihaya. Kama unaona deal Sana wewe soma ntakuajiri uje Uwe mkalimani wangu
 
Hukumaanisha hivyo mkuu. Ulizungumza kuhusu usaili wa nafasi ya Kazi.
Usahili ni aidha wa kazi ya kuajiriwa au umejiari unataka mkataba wa huduma kwa mteja wako mkubwa

ni lazima watakufanyia usahili na documentations za kutosha ,kumbuka yote hayo ni English hakuna KIswahili mahali

Ukiajiriwa kawaida utakutana na usahili wa ajira,ukijiajiri which is another form ya kuajiriwa tu utakutana na usahili mahali aidha through tender au mikataba ya huduma kwa wateja wakubwa

Unakwepea wapi?

Labda uuze nyanya au maduka,au biashara zozote za kisenge unazojua wewe ndio Viswahili kama hivyo which is nonsense na hazilipi kirahisi kama inavyotakiwa
 
Uwe unajua English au haujui you will always need a lawyer when it comes to contractual agreements. Legal English is far away much different from your regular English.

Anyways mbona una kiogopa Sana kiingereza?

Kiingereza ni lugha tu kama kihaya. Kama unaona deal Sana wewe soma ntakuajiri uje Uwe mkalimani wangu
Hahahaaaa

Taahira kweli wewe

Pamoja na lawyer kufanya technical issues kwenye mkataba,wewe ndio mwenye mali lazima upitie wewe kama wewe ujiridhishe kama masharti uliyoyataka yapo ndani

Lawyer anaweza shirikiana na mteja wakakuzamisha kwenye mkataba,au hujui hili?

maiti wewe

wewe jamaa huna akili...yaelekea ungekua mbali sana kama ungekua na elimu imara,ila upo hapo ulipo sababu huna makali ya maarifa kama nyenzo ya kukurahisishia kazi kadhaa wa kadhaa ndio maana huna hata hela ya kusomesha watoto IB au IGCSE
 
Back
Top Bottom