Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Wape watoto wako elimu bora bwana acha kukwepa majukumuBetween me and u the one who is afraid of English is u.
Yani umesoma lakini bado una ogopa kiingereza. U need to be liberated. Kiingereza ni kama kichaga tu
Ni Hali mbaya ya uchumi wa nchi na mtu mmoja Wala sio mtaalaHakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...
Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
sasa mtaala mpywa ndo uathiri shuke za Private za EM zenye facilities halafu uwe mzuri kwa shule zetu za kayumba mabazo watoto wanakaa chini kwenye vumbi?Acha uvivu nenda kausome mwenyewe unataka kutafuniwa kila kitu kama mtoto wa EM bana acha utoto mkuu
Elimu bora Ni Nini?Wape watoto wako elimu bora bwana acha kukwepa majukumu
Wape nyenzo ya English pia kama tool ya kupambana huku duniani
Ni kichaa tu kama wewe unaesema English ni kama Kihaya au Kichagga au Kiswahili
Yaani wewe ni kichaa kabisa...ENGLISH sio hivyo vyote ulivyotaja hapo kumanina wewe!
English ina watu Bilioni 8 wakati Kichagga kwetu ninakotoka kina watu milioni 3 tu
Nina bidhaa na huduma nataka kuuza hapa duniani,nafata watu Bilioni 8 au milioni 3?
Mbuzi wa maziwa kabisa
Mkuu mbona unakua mnafiki kiasi hiki?
Aliesoma Kayumba English hajui vizuri kama aliesoma English Medium mkuu,this is well known na tunawaona mtaani
Usijitoe ufahamu kusukuma ajenda yako ya hovyo
Ukitaka kuuza kitu duniani huko ni lazima uwafikie hao watu huko duniani,ni lazima uwafikie kwa English na sio Kiswahili
Kujifanya eti watakuja wenyewe TZ ni usengerema wa ajabu maana watakujuaje bila wewe kujitambulisha kwao kabla hawajaja?
Yaani waje blindly tu wakutane na wewe bahati mbaya barabarani ndio wajue una bidhaa fulani?
Ni vizuri unawaza kuwa tabata la chini namna hii....na matabaka hua yanaletwa na elimu nzuri na mbaya
kwa takwimu watu wa tabata la chini hua wengi wamesoma elimu hovyo za serikali
kwa takwimu pia watu wa tabata la juu hua wamesoma elimu serious zinasimamiwa seriously na zenye vifaa seriously na ufatiliaji seriou za private schools
wewe kama umeamua kutowapa watoto wako tools na nyenzo imara za kielimu ili wapambane na mazingira yao kirahisi ili wafanikiwe correctly unawapa kazi kubwa zaidi,wanaweza wasifeli ila unawawekea ugumu usio na maana wakati mzazi wao una kipato
Hahahaaaa
Taahira kweli wewe
Pamoja na lawyer kufanya technical issues kwenye mkataba,wewe ndio mwenye mali lazima upitie wewe kama wewe ujiridhishe kama masharti uliyoyataka yapo ndani
Lawyer anaweza shirikiana na mteja wakakuzamisha kwenye mkataba,au hujui hili?
Kwanini unapenda kuzungumza maneno yaliyo kufa? Au Yana reflect your mindset ?maiti wewe
Siwezi kutoa elfu 10 kulipa school fees kama ambavyo wafanyabiashara matajiri hawatumii hela zao bali wanatumia hela za benki kuzungusha mitaji Yao.wewe jamaa huna akili...yaelekea ungekua mbali sana kama ungekua na elimu imara,ila upo hapo ulipo sababu huna makali ya maarifa kama nyenzo ya kukurahisishia kazi kadhaa wa kadhaa ndio maana huna hata hela ya kusomesha watoto IB au IGCSE
Hiyo dollar 50,000 USD unayotaka "invest " utainvest wapi kama hutainvest kwa mtu yule yule aliesoma?Kama ingekuwa English ipo hivyo unavyo sema wewe, Lawyers wasingekuwa deal Marekani na UK.
Kuna watu wamesainishwa mikataba ya kimagumashi huko huko mamtoni.
Mifano :
1. Pac with DeathRow Records.
2. Biggie with BadBoy Records
Kwanini unapenda kuzungumza maneno yaliyo kufa? Au Yana reflect your mindset ?
Siwezi kutoa elfu 10 kulipa school fees kama ambavyo wafanyabiashara matajiri hawatumii hela zao bali wanatumia hela za benki kuzungusha mitaji Yao.
Ni watu wenye mawazo ya kimasikini kama Wewe ndio wanaweza kutoa yote hiyo Kwa ajili ya school fees Kwa sababu U know nothing about money.
U don't have a good relationship with money...
U were talking about kulipa dola elfu 50 kusoma eti Chuo ( Masters) Canada, Are u guy seriously?
Wewe chukua dola elfu hamsini nenda kasome Masters yako Canada. Halafu Mimi ni invest Dola elfu Kumi tu kununua na kusoma vitabu vyote vya kozi hiyo hiyo halafu uone nani atakuwa mahiri kwenye eneo hilo mwisho wa siku..
Najua utasema u pilot