Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Between me and u the one who is afraid of English is u.

Yani umesoma lakini bado una ogopa kiingereza. U need to be liberated. Kiingereza ni kama kichaga tu
Wape watoto wako elimu bora bwana acha kukwepa majukumu

Wape nyenzo ya English pia kama tool ya kupambana huku duniani

Ni kichaa tu kama wewe unaesema English ni kama Kihaya au Kichagga au Kiswahili

Yaani wewe ni kichaa kabisa...ENGLISH sio hivyo vyote ulivyotaja hapo kumanina wewe!

English ina watu Bilioni 8 wakati Kichagga kwetu ninakotoka kina watu milioni 3 tu

Nina bidhaa na huduma nataka kuuza hapa duniani,nafata watu Bilioni 8 au milioni 3?

Mbuzi wa maziwa kabisa
 
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .

Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.

Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...

Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.

Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Ni Hali mbaya ya uchumi wa nchi na mtu mmoja Wala sio mtaala
 
Acha uvivu nenda kausome mwenyewe unataka kutafuniwa kila kitu kama mtoto wa EM bana acha utoto mkuu
sasa mtaala mpywa ndo uathiri shuke za Private za EM zenye facilities halafu uwe mzuri kwa shule zetu za kayumba mabazo watoto wanakaa chini kwenye vumbi?

wakati mwingine muwe mnajiongeza
 
Wape watoto wako elimu bora bwana acha kukwepa majukumu
Elimu bora Ni Nini?
Wape nyenzo ya English pia kama tool ya kupambana huku duniani

Kwani Kayumba hawasomi kiingereza?
Ni kichaa tu kama wewe unaesema English ni kama Kihaya au Kichagga au Kiswahili

Yaani wewe ni kichaa kabisa...ENGLISH sio hivyo vyote ulivyotaja hapo kumanina wewe!

English ina watu Bilioni 8 wakati Kichagga kwetu ninakotoka kina watu milioni 3 tu

Nina bidhaa na huduma nataka kuuza hapa duniani,nafata watu Bilioni 8 au milioni 3?

Mbuzi wa maziwa kabisa

Kuna mganga yupo wilaya moja mkoani Lindi, jina la adui likipelekwa kwake Leo Basi kesho adui anazikwa.

Mamia Kwa maelfu ya "watu" kutoka pande zote za dunia hufurika kwake kwa ajili ya msaada wake.

Hajui English Zaidi ya Yes na No. Wao wenyewe wanao mfuata ndio wanalipa maelfu ya Dola Kwa wakalimani ili kuzungumza nae. ( kutojua kwake kiingereza tayari kumetengeneza ajira Kwa watu wengine)

Anyways sisemi watu wawe waganga au wachawi ila ninasema kama unayo maarifa yenyewe uwezo wa kutatua shida za watu Kwa ufasaha wala huhitaji kiingereza.

Christiano Ronaldo kaenda Man U hajui hata neno moja la kiingereza Zaidi ya Welcome and Thank You lakini kwa kuwa alikuwa na vitu vinavyo hitajika alikuwa mfalme.

Toka kwenye dunia yako hiyo uliyo itengeneza kwenye akili yako. Anza kuishi kwenye dunia halisi
 
Mkuu mbona unakua mnafiki kiasi hiki?

Aliesoma Kayumba English hajui vizuri kama aliesoma English Medium mkuu,this is well known na tunawaona mtaani

Usijitoe ufahamu kusukuma ajenda yako ya hovyo

Wakifika form 3 wote huwa wanakuwa level ns wakifika Chuo huwezi kutofautisha.

Tatizo lenu mna assume kwamba mtoto akisoma Kayumba hawezi fika Chuo kikuu ndio maana mnakuja na English fact.
Ukitaka kuuza kitu duniani huko ni lazima uwafikie hao watu huko duniani,ni lazima uwafikie kwa English na sio Kiswahili

Nani kasema ni lazima? Au una maanisha kwako? Anyways ni lazima kwenye akili yako na Sio kwenye uhalisia.
Kujifanya eti watakuja wenyewe TZ ni usengerema wa ajabu maana watakujuaje bila wewe kujitambulisha kwao kabla hawajaja?

Yaani waje blindly tu wakutane na wewe bahati mbaya barabarani ndio wajue una bidhaa fulani?

Bidhaa yako au ujuzi wako au uwezo wako utakutambulisha. Kwani Hasheem Thabeet nani alimtambulisha Kwa watu wa NBA?
Ni vizuri unawaza kuwa tabata la chini namna hii....na matabaka hua yanaletwa na elimu nzuri na mbaya

kwa takwimu watu wa tabata la chini hua wengi wamesoma elimu hovyo za serikali

kwa takwimu pia watu wa tabata la juu hua wamesoma elimu serious zinasimamiwa seriously na zenye vifaa seriously na ufatiliaji seriou za private schools

wewe kama umeamua kutowapa watoto wako tools na nyenzo imara za kielimu ili wapambane na mazingira yao kirahisi ili wafanikiwe correctly unawapa kazi kubwa zaidi,wanaweza wasifeli ila unawawekea ugumu usio na maana wakati mzazi wao una kipato
 
Hahahaaaa

Taahira kweli wewe

Pamoja na lawyer kufanya technical issues kwenye mkataba,wewe ndio mwenye mali lazima upitie wewe kama wewe ujiridhishe kama masharti uliyoyataka yapo ndani

Kama ingekuwa English ipo hivyo unavyo sema wewe, Lawyers wasingekuwa deal Marekani na UK.

Kuna watu wamesainishwa mikataba ya kimagumashi huko huko mamtoni.

Mifano :

1. Pac with DeathRow Records.

2. Biggie with BadBoy Records
Lawyer anaweza shirikiana na mteja wakakuzamisha kwenye mkataba,au hujui hili?

maiti wewe
Kwanini unapenda kuzungumza maneno yaliyo kufa? Au Yana reflect your mindset ?
wewe jamaa huna akili...yaelekea ungekua mbali sana kama ungekua na elimu imara,ila upo hapo ulipo sababu huna makali ya maarifa kama nyenzo ya kukurahisishia kazi kadhaa wa kadhaa ndio maana huna hata hela ya kusomesha watoto IB au IGCSE
Siwezi kutoa elfu 10 kulipa school fees kama ambavyo wafanyabiashara matajiri hawatumii hela zao bali wanatumia hela za benki kuzungusha mitaji Yao.

Ni watu wenye mawazo ya kimasikini kama Wewe ndio wanaweza kutoa yote hiyo Kwa ajili ya school fees Kwa sababu U know nothing about money.

U don't have a good relationship with money...

U were talking about kulipa dola elfu 50 kusoma eti Chuo ( Masters) Canada, Are u guy seriously?

Wewe chukua dola elfu hamsini nenda kasome Masters yako Canada. Halafu Mimi ni invest Dola elfu Kumi tu kununua na kusoma vitabu vyote vya kozi hiyo hiyo halafu uone nani atakuwa mahiri kwenye eneo hilo mwisho wa siku..

Najua utasema u pilot
 
Kama ingekuwa English ipo hivyo unavyo sema wewe, Lawyers wasingekuwa deal Marekani na UK.

Kuna watu wamesainishwa mikataba ya kimagumashi huko huko mamtoni.

Mifano :

1. Pac with DeathRow Records.

2. Biggie with BadBoy Records

Kwanini unapenda kuzungumza maneno yaliyo kufa? Au Yana reflect your mindset ?

Siwezi kutoa elfu 10 kulipa school fees kama ambavyo wafanyabiashara matajiri hawatumii hela zao bali wanatumia hela za benki kuzungusha mitaji Yao.

Ni watu wenye mawazo ya kimasikini kama Wewe ndio wanaweza kutoa yote hiyo Kwa ajili ya school fees Kwa sababu U know nothing about money.

U don't have a good relationship with money...

U were talking about kulipa dola elfu 50 kusoma eti Chuo ( Masters) Canada, Are u guy seriously?

Wewe chukua dola elfu hamsini nenda kasome Masters yako Canada. Halafu Mimi ni invest Dola elfu Kumi tu kununua na kusoma vitabu vyote vya kozi hiyo hiyo halafu uone nani atakuwa mahiri kwenye eneo hilo mwisho wa siku..

Najua utasema u pilot
Hiyo dollar 50,000 USD unayotaka "invest " utainvest wapi kama hutainvest kwa mtu yule yule aliesoma?

Au wewe unadhani hela ina investiwa kwenye biashara za nyanya na kupasua kuni na madaladala na mikokoteni?

Hela inainvestiwa kwa wasomi wenye solutions za matatizo ya wanadamu na wanajua wanachokifanya hapa duniani

Therefore mtoto wangu akisoma Stanford akarudi hapa hiyo 50,000USD unayosema utaenda invest infact utarudi nyuma utainvest kwake

Investments haziendi kwa watu ambao hawajaenda shule mkuu....get that in your head
 
Back
Top Bottom