Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Shule za EMs hazina wanafunzi wengi. Zina wanafunzi wachache Sana. Nyingi unakuta darasa moja Lina wanafunzi wanane Hadi 15.

So serikali ina uwezo wa kustahimili idadi ya wanafunzi shule za EMs bila wasiwasi wowote.

Elimu bora ni nini?
Hata wakiwa wa 5,hapo kila mtu ana uwezo wa kupata kitabu chake,laptop yake,cherehani yake sasa huko kwingine watoo 15 kitabu kimoja maana darasa lina watoto 400..kuna shule hapo?
 
Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Tatizo ni kwamba hata ukisoma unarudi kukutana na maisha ambayo hayaangalii elimu uliyonayo, na kama hauna connection utaimba haleluya..
 
Kama una hela mpeleke EM kama hauna mpeleke kayumba ,kila mtu ana choices zake so msipangie watu jinsi ya kutumia pesa zao.
 
Mtaala ni ule ule tofauti ni kwamba Huko Ems unalipia ila Kayumba hulipii so wazazi wanaona yanini mateso
Sasa tangu lini mtaala wa EMs ukatofautiana na kayumba? Toka zamani mtaala ni ule ule tofauti yake lugha tu
 
Hata wakiwa wa 5,hapo kila mtu ana uwezo wa kupata kitabu chake,laptop yake,cherehani yake sasa huko kwingine watoo 15 kitabu kimoja maana darasa lina watoto 400..kuna shule hapo?
Madam it seems like you have got a very little understanding about children psychology.

Hii sijui mara ya ngapi nakwambia watoto wanaenda shuleni kucheza na kufurahia na watoto wana enjoy Zaidi wanapokuwa wengi na Sio wachache.
Hizo laptops it's nonsense to them at that age they need to play alot.

Soma vitabu vya saikolojia ya watoto.

Nakupa titles 3 za kuanza nazo:

1. Jean Piaget; The Psychology of the child .

2. Daniel Siegel: The whole brain child.12 revolutionary strategies to nurture your child developing mind.

3. Robert S. Siegler : How children Develop.

Soma hivyo upate mwanga
 
Hapana. Mie pia nilisoma shule za dini zote mbili na hakukua na hayo mafundisho. Jk mwenyewe alisoma ya kanisa na hakuna sehemu kalalamika alifundishwa chuki. Usikariri mkuu
All the best. Hawafundishwi kuchukia waislamu lakini?
 
Elimu ni nini
Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi.

Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine.

Haya leta hoja.
 
Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Upo sahihi hakuna umuhimu wa elimu,mtu anaweza kua daktari,ama injinia tu hata asipojua kusoma achilia mbali kujua hesabu na bailojia
 
English medium schools ni hizi ; Tanganyika international school, Shaban Robert, Olympio, Moshi international school, etc. Kama mtoto wako hasomi hizo hapo, jua unasomesha mtoto wako St. Kayumba B🤣🤣🤣
 
Kuna chumi kubwa,za kati na za chini,nadhani upo hapo kaka

Wote hatuwezi kumiliki rangerover,wengine waishi na baiskeli tu,hata vidole havifanani pia
 
Shule za EMs hazina wanafunzi wengi. Zina wanafunzi wachache Sana. Nyingi unakuta darasa moja Lina wanafunzi wanane Hadi 15.

So serikali ina uwezo wa kustahimili idadi ya wanafunzi shule za EMs bila wasiwasi wowote.

Elimu bora ni nini?
Eti wanafunzi wa 5 hadi 15 labda hizo international lakini hizi kina St mary st Anna nk.zina watoto hadi madarasa ABC
 
Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Hicho kilimo, ufugaji na ujasiriamali utajufunza bila kusoma? Mkapa aliwakumbusha watu wa aina yako, ukitaka kujua thamani ya elimu jaribu ujinga. Vyote ulivyosema vinahitaji vitendea kazi, madawa na masoko. Vitatoka wapi bila wasomi wa kubuni, kuzalisha na kutengeneza vikiharibika? Pole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…