Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Huejielewi.Kwa sababu there is a value for money. Hiyo ni ya chakula cha watoto wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huejielewi.Kwa sababu there is a value for money. Hiyo ni ya chakula cha watoto wangu
Hata wakiwa wa 5,hapo kila mtu ana uwezo wa kupata kitabu chake,laptop yake,cherehani yake sasa huko kwingine watoo 15 kitabu kimoja maana darasa lina watoto 400..kuna shule hapo?Shule za EMs hazina wanafunzi wengi. Zina wanafunzi wachache Sana. Nyingi unakuta darasa moja Lina wanafunzi wanane Hadi 15.
So serikali ina uwezo wa kustahimili idadi ya wanafunzi shule za EMs bila wasiwasi wowote.
Elimu bora ni nini?
Mimi nnaesomesha English medium Sina taarifa naomba ufafanuzi jamanNi criteria zipi za mtaala mpya zilizo chochea wazazi kundoa watoto wao English Medium?
Naunga mkono hojaHuejielewi.
Tatizo ni kwamba hata ukisoma unarudi kukutana na maisha ambayo hayaangalii elimu uliyonayo, na kama hauna connection utaimba haleluya..Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Elimu ni niniKila mtu ashinde mechi zake. Mzigo wa sasa ni nafuu ya baadae.
Mpe elimu mtoto kadri ya uwezo wako usijiumize kisa ada ya mtoto.
fainali uzeeni.
Sasa tangu lini mtaala wa EMs ukatofautiana na kayumba? Toka zamani mtaala ni ule ule tofauti yake lugha tuMtaala ni ule ule tofauti ni kwamba Huko Ems unalipia ila Kayumba hulipii so wazazi wanaona yanini mateso
Madam it seems like you have got a very little understanding about children psychology.Hata wakiwa wa 5,hapo kila mtu ana uwezo wa kupata kitabu chake,laptop yake,cherehani yake sasa huko kwingine watoo 15 kitabu kimoja maana darasa lina watoto 400..kuna shule hapo?
Unasomesha mtoto Ems?
All the best. Hawafundishwi kuchukia waislamu lakini?Yes tena ya kanisa
All the best. Hawafundishwi kuchukia waislamu lakini?
Wakati huo watoto wa wenzako wakilamba teuzi za ukurugenzi wa mashirika na ukuu wa mikoa.Mwanangu akimaliza darasa la saba anaanza kushinda dukani kwangu
Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi.Elimu ni nini
Upo sahihi hakuna umuhimu wa elimu,mtu anaweza kua daktari,ama injinia tu hata asipojua kusoma achilia mbali kujua hesabu na bailojiaKwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Kuna chumi kubwa,za kati na za chini,nadhani upo hapo kakaWenye uchumi stable wanasomesha watoto shule za International ambazo zinafuata mtaala wa Cambridge.
Wewe unaesomesha Ems ada milioni 2 ni masikini sawa na anae somesha Kayumba ila tofauti ni kwamba wewe unalipishwa kitu ambacho mwenzako anapewa bure.
So hapo fala unakuwa Wewe. Demu yule yule mie ananipa bure ila wewe mpaka umpe hela
Eti wanafunzi wa 5 hadi 15 labda hizo international lakini hizi kina St mary st Anna nk.zina watoto hadi madarasa ABCShule za EMs hazina wanafunzi wengi. Zina wanafunzi wachache Sana. Nyingi unakuta darasa moja Lina wanafunzi wanane Hadi 15.
So serikali ina uwezo wa kustahimili idadi ya wanafunzi shule za EMs bila wasiwasi wowote.
Elimu bora ni nini?
Hicho kilimo, ufugaji na ujasiriamali utajufunza bila kusoma? Mkapa aliwakumbusha watu wa aina yako, ukitaka kujua thamani ya elimu jaribu ujinga. Vyote ulivyosema vinahitaji vitendea kazi, madawa na masoko. Vitatoka wapi bila wasomi wa kubuni, kuzalisha na kutengeneza vikiharibika? Pole!Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali