kaa chini
JF-Expert Member
- Jun 4, 2022
- 1,935
- 4,048
Humu Jf naona kuna kikundi cha walimu wa shule za Kayumba na wazazi waliochanganyikiwa na hawana uwezo wa kuwasomesha watoto wao shule za EM kila leo kuanzisha nyuzi za kipuuzi mara waliosoma EMS wasipewe mikopo, mara waliosoma EMS wasipate ajira Serikalini. Ukifuatilia unagundua ni wazazi walioshindwa na walimu wa shule za Serikali wenye wivu.