Tetesi: Wamiliki wa Bar na Hotel Jijini Mwanza Kuanza mgomo kesho, Mei 22, 2023

Tetesi: Wamiliki wa Bar na Hotel Jijini Mwanza Kuanza mgomo kesho, Mei 22, 2023

Hahahahahahaha kwani hawa watu wanashida gani na Amos Makalla?, ina maana hata Mwanza hawamtaki pia?
 
Kwani kkoo uliona kuna muuza baa, kumbuka hata Daladala tuko mbioni au kkoo uliona mwakikishi wa daldala.
mkigoma sim mnafutiwa leseni nyie nyau tuone mnaenda kula wapi. Mnalipaga kodi gani nyie, daladala moja haiwezi kulipa kodi hata ya mwalimu wa shule ya msingi ya mwezi moja kwa mwaka mzima.
 
Hivi wanamkomesha nani wakigoma maana sheria zipo na lazima zifuatwe
Wakifungiwa kabisa leseni itakuwaje?

Yaani tunakoelekea mwisho mpaka mashoga wataandamana
Serikali acha ikenue meno tu kama haiwajui waafrika
 
wanamgomea nani, wameona serikali dhaifu siyo? Wanatingisha kiberiti, wakifunga watakufa njaa wao na watoto washenz hao. Hata bar unagoma? Wajaribu waone, Hata hivyo waziri mkuu alionesha udhaifu mkubwa kusikiliza yale majambazi ya K/koo, wale ni wezi wa kodi za serikali, hawataki kulipa kodi wanajaribu serikali ya mama...
Unafanya biashara gani?
 
mkigoma sim mnafutiwa leseni nyie nyau tuone mnaenda kula wapi. Mnalipaga kodi gani nyie, daladala moja haiwezi kulipa kodi hata ya mwalimu wa shule ya msingi ya mwezi moja kwa mwaka mzima.
Utakapotembea kwa mguu ndipo utatuheshimu, unadhani bila sisi hiyo biashara inaweza kufanyika kkoo.
 
wanamgomea nani, wameona serikali dhaifu siyo? Wanatingisha kiberiti, wakifunga watakufa njaa wao na watoto washenz hao. Hata bar unagoma? Wajaribu waone...
Msalimie shemeji maana naona uko sebureni hapo kwa dada yako unatoa boko zako jf[emoji41]
 
Tatizo kubwa la serikali ni kupitisha sheria mbovu ambazo siyo rafiki kwa wafanyabiashara sasa mwanza wameamua kwa kauli moja ya kutifungua bar wala hotel yoyote jijini humo, mimi kwa maoni yangu mama ni vizuri aanze ufatiliaji wa watendaji wake akiendelea kuwachekea asishangae kushindwa kuiendesha serikali...
Hivi nyinyi wafanyabiashara wa bar mnataka mpige miziki kwa sauti kubwa ili wananchi wanaowazunguka washindwe kupumzika na familia zao? Nitashangaa kama serikali itakubaliana na ujinga huu!!
 
Back
Top Bottom