Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Ile ya Kariakoo sawa haya mgomo mwengine wawapiga kelele Bar huu ni uduwanzi sasa wanadeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu. Pressure imepungua kidogo?wanamgomea nani, wameona serikali dhaifu siyo? Wanatingisha kiberiti, wakifunga watakufa njaa wao na watoto washenz hao. Hata bar unagoma? Wajaribu waone, Hata hivyo waziri mkuu alionesha udhaifu mkubwa kusikiliza yale majambazi ya K/koo, wale ni wezi wa kodi za serikali, hawataki kulipa kodi wanajaribu serikali ya mama. Naomba mama awe strong hakuna mtanzania anataka kulipa kodi mpaka walazimishwe kwa sheria. Watu pekee nchi hii hawawezi kukwepa kodi ni wafanyakazi tu. Ndio maana nchi hii ni ya wakulima na wafanyakazi, wafanyabiashara wa nchi hii ni manyan'gau tu
Amos MakalaKelele za bar zinakera, na wao wanagomea nini sasa??
Ushauri ulio bora ni kumuomba aachie ngazi maana anapingwa ndani na nje🤣Kuna kitu nitaishauri serikali ya mama juu ya Hilo kupitia jukwaa hili
Wewe ni mwizi tu huna hoja!Mawazo ya Kimaskini kama haya alikuwa nayo Jiwe kila mwenye nacho kaiba
Nako tunagoma vilevile.Makala anakutana tena na mgomo?? Safari hii atapelekwa Tabora
Ogopa sana mtu kama huyu ambae amezoea kula na kuishi kwa kutumwa, ili aende choo,ili alale ,ili avai nk nk.Hawezi kuwa na Akili hata kidogo ya kumsikiliza Mjasiliamali. Wewe unabiashara yoyote hata ya maandazi??wanamgomea nani, wameona serikali dhaifu siyo? Wanatingisha kiberiti, wakifunga watakufa njaa wao na watoto washenz hao. Hata bar unagoma? Wajaribu waone, Hata hivyo waziri mkuu alionesha udhaifu mkubwa kusikiliza yale majambazi ya K/koo, wale ni wezi wa kodi za serikali, hawataki kulipa kodi wanajaribu serikali ya mama. Naomba mama awe strong hakuna mtanzania anataka kulipa kodi mpaka walazimishwe kwa sheria. Watu pekee nchi hii hawawezi kukwepa kodi ni wafanyakazi tu. Ndio maana nchi hii ni ya wakulima na wafanyakazi, wafanyabiashara wa nchi hii ni manyan'gau tu
Haya ndy Majinga machache mkuu,kula kulala bure.Kwani kkoo uliona kuna muuza baa, kumbuka hata Daladala tuko mbioni au kkoo uliona mwakikishi wa daldala
Wewe utakuwa ni KK sidhani hata kama barua ya kuomba kazi uliandika.
Sheria za Tanzania zinatokana ana maoni ya upande mmoja wa taasisi bila kushirikisha wadau ndo maana zinasumbua katika utendaji wake..Hivi wanamkomesha nani wakigoma maana sheria zipo na lazima zifuatwe
Wakifungiwa kabisa leseni itakuwaje?
Yaani tunakoelekea mwisho mpaka mashoga wataandamana
Serikali acha ikenue meno tu kama haiwajui waafrika
Amos Makala astafu tu. Kila Kona hawamtakiWamiliki wa Bar na Hotel Jijini Mwanza Kuanza mgomo kesho kushinikiza Mamlaka ya Mazingira nchini iwatendee haki
Source: EATV
Sheria zipi hizo?Tatizo kubwa la serikali ni kupitisha sheria mbovu ambazo siyo rafiki kwa wafanyabiashara sasa mwanza wameamua kwa kauli moja ya kutifungua bar wala hotel yoyote jijini humo, mimi kwa maoni yangu mama ni vizuri aanze ufatiliaji wa watendaji wake akiendelea kuwachekea asishangae kushindwa kuiendesha serikali.
Haya yanayotokea siyo hayo tu taasisi nyingi za umma zinekuwa kero kwa jamii kwa ujumla mwenye nacho ndiye anapata huduma anayostahili kila mtendaji wa serikali anafanya atskavyo yeye mwenyewe hii ni kwasababu hakuna ufatiliaji wowote unaofanywa watu wapo maifisini kula pesa za umma huku hakuna huduma zinazitolewa kwenye jamii
Namkumbusha mama ashituke wateule wake asipowafatilia basi ajiandae chombo kinazama bila yeye kujuwa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]mgomo kesho mwanza.
View attachment 2630066
Hahahaha 😂😂😂😂Amos Makala