Tetesi: Wamiliki wa Bar na Hotel Jijini Mwanza Kuanza mgomo kesho, Mei 22, 2023

Tetesi: Wamiliki wa Bar na Hotel Jijini Mwanza Kuanza mgomo kesho, Mei 22, 2023

Wamiliki wa baa na hoteli jijini Mwanza wamesema wataanzisha mgomo kuanzia kesho kutokana na baraza la Taifa la mazingira NEMC kufunga baa na hoteli zao huku nyingine zikipigwa faini kubwa kwa madai kuwa wanapiga muziki kupita kiasi.

View attachment 2630066

Wamiliki hao wamekutana kwenye kikao cha pamoja na kujadiliana kuhusu sheria za NEMC walizopewa hivi karibuni ambazo wanadai zinakwamisha shughuli zao na kusema ili waweze kupata ufumbuzi wa jambo hilo ni bora wagome kufanya kazi.

Chanzo: EATV

===

Tatizo kubwa la serikali ni kupitisha sheria mbovu ambazo siyo rafiki kwa wafanyabiashara sasa mwanza wameamua kwa kauli moja ya kutifungua bar wala hotel yoyote jijini humo, mimi kwa maoni yangu mama ni vizuri aanze ufatiliaji wa watendaji wake akiendelea kuwachekea asishangae kushindwa kuiendesha serikali.

Haya yanayotokea siyo hayo tu taasisi nyingi za umma zinekuwa kero kwa jamii kwa ujumla mwenye nacho ndiye anapata huduma anayostahili kila mtendaji wa serikali anafanya atskavyo yeye mwenyewe hii ni kwasababu hakuna ufatiliaji wowote unaofanywa watu wapo maifisini kula pesa za umma huku hakuna huduma zinazitolewa kwenye jamii

Namkumbusha mama ashituke wateule wake asipowafatilia basi ajiandae chombo kinazama bila yeye kujuwa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]mgomo kesho mwanza.
Aliyemroga pedeshee Makala anaweza sana apewe maua yake tu
 
mkigoma sim mnafutiwa leseni nyie nyau tuone mnaenda kula wapi. Mnalipaga kodi gani nyie, daladala moja haiwezi kulipa kodi hata ya mwalimu wa shule ya msingi ya mwezi moja kwa mwaka mzima.
KWamba daladala ina kodi nafuu kuliko kodi ya mwalimu wa shule ya msingi??:
 
Wamiliki wa bar hawana hoja za maana! Noise pollution ni tatizo kubwa lenye madhara makubwa kwa binadamu. NEMC wamepiga marufuku lakini still bar wanapiga BAND saa saba za usiku na speaker zenyewe zinapaza balaa. Pia NEMC wanatekeleza malalamiko ya raia wengi wanaokumbwa na madhara ya makelele ya Bar.
 
Wamiliki wa bar hawana hoja za maana! Noise pollution ni tatizo kubwa lenye madhara makubwa kwa binadamu. NEMC wamepiga marufuku lakini still bar wanapiga BAND saa saba za usiku na speaker zenyewe zinapaza balaa. Pia NEMC wanatekeleza malalamiko ya raia wengi wanaokumbwa na madhara ya makelele ya Bar.
Ndo wanagoma sasa.
Pelekeni gari za maji washa wakome au siyo?
 
Migomo imefunguka sasa!! Watu wana mengi vifuani mwao! Bado watumishi wa umma!
Watumishi wa umma kugoma sio rahisi na sahau kabisa . Hizo kazi za umma wengine wanatumia hadi ndumba kuzipata akishapata anatengeneza mijrija ya kuiba akiwa kazini ndo inakuwa imetoka . Mtu ana mirija yake ya wizi kazini halafu umwambie agome !!! Hawezi kukuelewa.
 
wanamgomea nani, wameona serikali dhaifu siyo? Wanatingisha kiberiti, wakifunga watakufa njaa wao na watoto washenz hao. Hata bar unagoma? Wajaribu waone, Hata hivyo waziri mkuu alionesha udhaifu mkubwa kusikiliza yale majambazi ya K/koo, wale ni wezi wa kodi za serikali, hawataki kulipa kodi wanajaribu serikali ya mama. Naomba mama awe strong hakuna mtanzania anataka kulipa kodi mpaka walazimishwe kwa sheria. Watu pekee nchi hii hawawezi kukwepa kodi ni wafanyakazi tu. Ndio maana nchi hii ni ya wakulima na wafanyakazi, wafanyabiashara wa nchi hii ni manyan'gau tu

Ripoti ya CAG haishawishi kulipa kodi.
 
Pale windhoek Namibia ukisikia kelele hata za Birthday kwa jirani unapiga simu 911 haraka sana alafu unalala asubuhi utapata report Birthday boy/girl ameamkia jela.
 
Back
Top Bottom