Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria zote mbaya za tz matatizo yake uanza pale zinapoanza kutumika na huwa najiuliza kwanini hii misuguano haipo wakati bunge linaendelea ili kuzuia isiwe sheria, lkn unagundua kuwa sheria nyingine upita mlango wa nyuma na usitukia ilishakuwa sheria.Sheria za Tanzania zinatokana ana maoni ya upande mmoja wa taasisi bila kushirikisha wadau ndo maana zinasumbua katika utendaji wake...
Hata wagome miaka 10 hawana athari yoyote. Sana sana watakuwa wamepunguza kuenea kwa dhambi ya ulevi .wafanyabiashara sasa mwanza wameamua kwa kauli moja ya kutifungua bar wala hotel yoyote jijini humo, mimi
Hoja za kingese hizi. Jiwe aliwarithisha upumbavu. Mgomo ni haki ya kikatiba.wanamgomea nani, wameona serikali dhaifu siyo?
Shenzitypewanamgomea nani, wameona serikali dhaifu siyo? Wanatingisha kiberiti, wakifunga watakufa njaa wao na watoto washenz hao. Hata bar unagoma? Wajaribu waone, Hata hivyo waziri mkuu alionesha udhaifu mkubwa kusikiliza yale majambazi ya K/koo, wale ni wezi wa kodi za serikali, hawataki kulipa kodi wanajaribu serikali ya mama. Naomba mama awe strong hakuna mtanzania anataka kulipa kodi mpaka walazimishwe kwa sheria. Watu pekee nchi hii hawawezi kukwepa kodi ni wafanyakazi tu. Ndio maana nchi hii ni ya wakulima na wafanyakazi, wafanyabiashara wa nchi hii ni manyan'gau tu
Mdau upo windhoek daaah wasalimie swakopmund hahah
Waligomea TRA, hawa wanagomea NEMC.wanamgomea nani, wameona serikali dhaifu siyo? Wanatingisha kiberiti, wakifunga watakufa njaa wao na watoto washenz hao. Hata bar unagoma? Wajaribu waone, Hata hivyo waziri mkuu alionesha udhaifu mkubwa kusikiliza yale majambazi ya K/koo, wale ni wezi wa kodi za serikali, hawataki kulipa kodi wanajaribu serikali ya mama. Naomba mama awe strong hakuna mtanzania anataka kulipa kodi mpaka walazimishwe kwa sheria. Watu pekee nchi hii hawawezi kukwepa kodi ni wafanyakazi tu. Ndio maana nchi hii ni ya wakulima na wafanyakazi, wafanyabiashara wa nchi hii ni manyan'gau tu
Huna unachojua. Hivi unesahau wanaongiza kulipa kodi ni akina nani?Kwa ili hatutawasapoti. Wakae kwa kutulia.
Mfano Bar wakigoma, yaani wanaoathirika nia 0.001% ya population ya mkoa.
Vipi kuhusu wake walokole wanapiga makelele usiku?Hivi nyinyi wafanyabiashara wa bar mnataka mpige miziki kwa sauti kubwa ili wananchi wanaowazunguka washindwe kupumzika na familia zao? Nitashangaa kama serikali itakubaliana na ujinga huu!!