Tetesi: Wamiliki wa Bar na Hotel Jijini Mwanza Kuanza mgomo kesho, Mei 22, 2023

Wana mgomea nani j3 pimbi hawa wame shindwa kugoma kuanzia Ijumaa
 
Hahahahahahaha kwani hawa watu wanashida gani na Amos Makalla?, ina maana hata Mwanza hawamtaki pia?
 
Kwani kkoo uliona kuna muuza baa, kumbuka hata Daladala tuko mbioni au kkoo uliona mwakikishi wa daldala.
mkigoma sim mnafutiwa leseni nyie nyau tuone mnaenda kula wapi. Mnalipaga kodi gani nyie, daladala moja haiwezi kulipa kodi hata ya mwalimu wa shule ya msingi ya mwezi moja kwa mwaka mzima.
 
Hivi wanamkomesha nani wakigoma maana sheria zipo na lazima zifuatwe
Wakifungiwa kabisa leseni itakuwaje?

Yaani tunakoelekea mwisho mpaka mashoga wataandamana
Serikali acha ikenue meno tu kama haiwajui waafrika
 
Unafanya biashara gani?
 
mkigoma sim mnafutiwa leseni nyie nyau tuone mnaenda kula wapi. Mnalipaga kodi gani nyie, daladala moja haiwezi kulipa kodi hata ya mwalimu wa shule ya msingi ya mwezi moja kwa mwaka mzima.
Utakapotembea kwa mguu ndipo utatuheshimu, unadhani bila sisi hiyo biashara inaweza kufanyika kkoo.
 
wanamgomea nani, wameona serikali dhaifu siyo? Wanatingisha kiberiti, wakifunga watakufa njaa wao na watoto washenz hao. Hata bar unagoma? Wajaribu waone...
Msalimie shemeji maana naona uko sebureni hapo kwa dada yako unatoa boko zako jf[emoji41]
 
Hivi nyinyi wafanyabiashara wa bar mnataka mpige miziki kwa sauti kubwa ili wananchi wanaowazunguka washindwe kupumzika na familia zao? Nitashangaa kama serikali itakubaliana na ujinga huu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…