Wamiliki wa BMW Shikamooni

Kaka...Bado una ji shughulisha na ufundi wa hizi gsri???Nna hitaji fundi
 
G63...kuna jamaa wa SA alikuwa anaitumia kama tax...anabeba abiria,wasauzi wenyewe wakawa hawaamini anawaambia wapande wanaogopa kwa hofu ya mnyama ulivyo!!

Daah kweli mkuu one man's trash is another man's treasure.
 
Tunastahili hongera but ukweli ndani ya mioyo yetu tunaumia kuliko unavyodhan maana tangu sijawah kutumia chini ya laki tano kwa matengenezo ya aina yoyote
Na sometime kujkuta inatoka mpk 3m usishangae[emoji24][emoji24][emoji125][emoji125]
Kweli tupu

Sent from my SM-G988B using JamiiForums mobile app
 
Ghali lakini haziharibiki mara kwa mara, tatizo wengi tunazipeleka hizi gari kwa mafundi wa magari ya japani, lazima ulie.

Kuna mafundi wa chache wamebobea na kuspesialize kwenye magari ya ulaya, hautajuta...
Best bite sehemu gani kwa Dar??

Sent from my SM-G988B using JamiiForums mobile app
 
Aisee mkuu nakubaliana na wewe kabisa ukiangalia comment nyingi za watu humu utagundua Ni wamiliki wa Toyota wanaoendeshwa na hofu ya kumiliki BM.

Hiyo mashine uliyoweka kwenye picha Niko nayo mwaka wa tatu huu, acha hizo za 2010 kurudi nyuma ukitaka uinjoy BMW chukua ya 2011 kwenda mbele, daa nakumbuka kipindi naichukua hii mashine nilikuwa na Mawazo Kama ya wengi humu wanaojifanya mafundi, Yuko member humu anaitwa Mshana Jr alinibadilisha mtazamo kabisa nami nikaivuta aise aise,

Nina gari nyingine Nyumbani sikumbuki Mara ya mwisho nimeziwasha Ni lini, BM imenisahaulisha kabisa Kama Kuna magari tofauti yanayotoka Japani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile hapana hata bule ila ile X6 ile gari nimeielewa mpaka umeingia namba 1 ya dream car kwangu pale kampuni ya BMW ilitulia.

Portfolio | 2020
Mkuu usikariri maisha kila toleo Lina version tofauti. Ipo version ya x3 hata X6 inakaa kwa Bei, muonekano na features.

Isije ikawa nawe unaendeshwa na fear of unknown. Ukitaka kuenjoy bm yeyote chukua ya 2011 kwenda mbele sio haya yaliyojaa barabarani ya 2005

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uzoefu wako umeishia kwenye 320i unahaki ya kuzungumza hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…