Hamna hicho kitu, shida ya sisi wabongo tuna jinamizi la fear of unknown, yaani kunasumba za kipumbavu.
Kwa mfano IST zimejaa TZ kwa Sababu ya kasumba eti gari imara sijui haili mafuta, kwahiyo kila mtu ni IST. Haili mafuta unataka ile maji! Gari imara unataka kuzeeka nayo ? Haya ni mawazo hovyo kabisa.
Now naambiwa kuna kasumba imeshaingia ya Subaru hizi Kama Rav 4 , now kila mtu ni hiyo tu. Huu ni uoga usiojulikana.
Utakuta mtu anakwambia BMW ni expensive to maintain, Halafu huyo mtu hajawahi kumiliki BMW in his entire life, just hear say! Yaani huwa nabaki what [emoji15].
Mwaka wa 3 sasa huu naendesha BMW X6 ya mwaka 2011 gari haijawahi kunipa shida yoyote na ninaitumia kila siku kwa shughul zangu za kikazi. Ni my routine car yaani I drive it everyday everywhere for 3 years.
sasa mimi huwa i don’t understand wabongo wakisema BMW this BMW that.
Currently namuagizia my wife BMW X3 ,
View attachment 1378259Ina maana Kama zingekuwa na shida nisingeweza fanya hayo.
Guys tupunguze hearsay, mnajicheleweshea sana maisha.
There is nothing you can do with Toyota zaid ya kukanyaga mafuta, kuwasha AC, kuwasha Radio, kupandisha na kushusha vioo na kukanya brake. Kubwa zaid utasumbua ukienda kijijini kwenu
BMW you enjoy the interior design, features, comfortably, security pamoja na mfumo wa kukupunguzia Wewe kuvuta gas chafu itokayo Kwenye petrol na carbon monoxide.
Hayo mabrevis brevis, ma vitz vitz, ma crown crown nikujitafutia magonjwa ya kudumu tu na hata ukipata ajali serious huwezi kupona maana hizo ni bati tu.
People mnajichelewesha na unknown fear, wacheni uzembe Unless kweli Huna uwezo otherwise ........