Alaf eet wanasema maisha magumu ..mavii!!Kuna gari zingine wanamiliki wababe tu hapa mjini,gari ina tank mbili na zote anaweka full tank full time,cc 4000,
Spark Plug tu ni laki na themanini,
Acha pesa imtambulishe mtu jinsi alivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kwenu....
Ukikutana na mmiliki wa BMW series yoyote ile ni vyema ukamheshimu tu kujipunguzia machungu ya ukali wa maisha!
Hongereni!
Ninatembelea toka ijumaa!...
Heshima kwenu....
Ukikutana na mmiliki wa BMW series yoyote ile ni vyema ukamheshimu tu kujipunguzia machungu ya ukali wa maisha!
Hongereni!
X3, X5 ni kama taxi???Sijui kwanini hii BMW naona kama tax tu...labda ile iliyobinuka nyuma kama ya Diamond platinum na wengi wenye pesa siwaoi wakinunua aina nyengine tofauti na ile ila hizi zingine sijui X5, 3 nk kama tax tu.
Portfolio | 2020
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji51]We jamaa ulinifanyaga nikavunja account nikavuta BMW dah Sasa napewa heshima zisizo zangu mitaani huku mwenyewe nikijijua zohofu hali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema zinakula mafuta mengi kupita bajeti yako uliozoea kwa mwezi unapopiga mishemishe na Subaru yako
Kwa experience yangu ya kua fundi wa european cars hasahasa(bmw,benz).
Bmw ni magari mazuri sana yakiwa mapya lakini ukipata used litakusumbua sana kwa service kutokana kuharibika haribika,german cars are overengineered hivo tatizo dogo tu linazingua gari.wengi wanaweza ku afford kununua ila sio kulitunza.
Mtu anaemiliki german car ambalo linatembea barabarani mpe heshima yake maaana linamcost
BMW ni afadhali kiasi fulani
Mercedec Benz ipo higher end zaidi
Katika normal competitors models Mercedes Benz ni twice ya bei ya BMW kwenye same bracket!
BMW ni even fairer zaidi wanatumia middle class,Mercedes Benz ni even lethal price range wise!
Benz imeizunguka BMW mara mbili kwa sophistication na bei!
Benz huzioni sana third world countries maana wenye akili timamu na hela serious ndio wanazo,na ni middle and far aged rich males ndio wanazo na wanajua urefu wake!
Weka tupate inspirations.🤣🤣🤣!...niambiwe najimwambafy? Kitu cha bmw x6!dadeq...
Ila nitajaribu kuchukua BMW X6 nione maana gari nayotumia sasahivi sana ni Range Discover napenda gari zinazobinuka kalio nyuma nitacheki mwezi wa sita nichukue X6 niteat.Omba ukae kwa usukani mzee baba.gari zitooo...lol
Njoo tuungane huku nje chini ya mti tungoje wababe wamalize mjadala huko ndani
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Kuna siku nilikuwa na dereva wa ofisini tunatoka sheli flani ipo Njiro sie tumo kwenye Rav 4 pembeni ipo X5 wote wanabaniana kuingia road, ikabidi nimwambie dereva wetu we emu ona aibu basi acha GARI ipite [emoji3][emoji3]
Ulichukua ipi nduguWe jamaa ulinifanyaga nikavunja account nikavuta BMW dah Sasa napewa heshima zisizo zangu mitaani huku mwenyewe nikijijua zohofu hali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah mambo kwa Ground ni bad newz!View attachment 1373539
Hahah sikuwahi kujua kuna tajiri anakaa tabata kwny njia choka mbovu nikajua jamaa anaishi zake Masaki huko,sijui GMC inafikaje huko tabata madongo kuinama.
Tajiri badala apeleke gari Pale Toyota/CMC anaulizia mafundi wa bei chee,hahahah.
Umeomgea vizuri sana! Ukikuta the same model series ya Mercedes Benz na BMW bei yake huwezi ilinganisha na BMW! Kama ulivyosema hata hapa Bongo wazee waliowahi kuwa nazo au heshima fulani katika jamii ndo utakuta wanaendesha Mercedes Benz zile za zamani! Vijana kizazi kipya wengi wanaendesha BMW! Mercedes Benz moto wake mkubwa! Asante sana mdau kwa ufafanuzi!BMW ni afadhali kiasi fulani
Mercedec Benz ipo higher end zaidi
Katika normal competitors models Mercedes Benz ni twice ya bei ya BMW kwenye same bracket!
BMW ni even fairer zaidi wanatumia middle class,Mercedes Benz ni even lethal price range wise!
Benz imeizunguka BMW mara mbili kwa sophistication na bei!
Benz huzioni sana third world countries maana wenye akili timamu na hela serious ndio wanazo,na ni middle and far aged rich males ndio wanazo na wanajua urefu wake!