Wamiliki wa lodge kuweni serious

Umesahau godoro unakuta ni kama mtumbwi
 
Vinaponyoka mkononi, ikizama kwenye tundu la choo ndo mpaka ujikaushe uombe kingine ama upotozee
Kuna tule tusabuni tudogo kama kiberiti, sijui wanavinunua Tsh100.. unapewa wakati umelipa 50k+ wanashindwa kutoa sabuni zinazoeleweka, sijawahi kuvitumia kuoga!
Mbaya unamkuta mwamba anaweka kwenye bag, sometime hata wateja tuwe serious!
 
napitia comments
sijaona zinazoongelea magodoro yanayozungushiwa nailoni ya kule upande wa kule magharib ya mbali ya kusini kwa kina m7

Muleba, ngara, karagwe, kyerwa, misenyi, mutukula, kyotera, masaka, lukaaya, kampala, mbarara, bwera, jinja, kisugo namwongo, hua zinawekwa zile cover either za leather au nilon ili kuzuia kuchafua magodoro kwani wanawake wa maeneo hayo hurusha na kutoa maji mengi wakati wa shughuli zao , hivo husaidia kutunza magodoro na hiyo sio loji tu hata nyumba za watu binafsi magodoro lazima yatunzwe namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…