Wamiliki wa lodge kuweni serious

😂😂😂Umenikumbusha sehemu moja hapo niliwahi kuwa sehemu ya umiliki wa lodge,, ebanaeee tukajifanya magodoro hatuyawekei cover😂😂 Tanfoam za maana zilipigwa maji km mara mbili godoro chali na godoro likinywa maji kukauka ni shughuli pevu, Kuna siku tulikuta maji mpaka mlangoni, mashuka yametota mito haifai godoro hilo ndo lilikuwa linatema maji tu kudadeki kuna watu ni kufuru, tulitafuta cover kwa dharula aisee
 
Utapata kitu kulingana na ukubwa wa pesa yako , usitegemee unachukua logde ya 6000 ukapata huduma nzuri.
 
Heater Haifanyi kazi.
Lodge nyingine nilikuta mafuta ya mgando mengi tuu pembeni ya kitanda .
 
Aiseee juz nmetoka mwanza lodge
Nliyolala mashuka hawakubadilisha
Natoka mchana narud mashuka naona n Yale Yale Tu yaan nikashangaa n usafi gani walikua wanafanya

Ila kwenye mambo mengine wako safi Choo kisafi maji Moto fresh
Ila tv channel n za kuunga unga😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…