MNATUCHANGANYA MAANA HADI WANAOENDAGA GUEST HOUSE WANAITA LODGE.
Hotel , Lodge, Guest House, Motel, Rest House, park, kila kimoja hapo kina sifa zake na vigezo vyake sema sisi hujiandikia tu bila kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MNATUCHANGANYA MAANA HADI WANAOENDAGA GUEST HOUSE WANAITA LODGE.
Na bado unalala?16. Vyoo vya kukaa vichafu
17. Kondom hamna
18. Mashuka hayafuliwi hata siku tatu
19. Sabuni ya kuogea hamna
20. Uvundo kama wote vyumbani
21. Maji hakuna
We acha tu!Na bado unalala?
Unakuta ndio umefika mji mgeni Halafu ni usiku kama saa sita usikuNa bado unalala?
😂😂😂Umenikumbusha sehemu moja hapo niliwahi kuwa sehemu ya umiliki wa lodge,, ebanaeee tukajifanya magodoro hatuyawekei cover😂😂 Tanfoam za maana zilipigwa maji km mara mbili godoro chali na godoro likinywa maji kukauka ni shughuli pevu, Kuna siku tulikuta maji mpaka mlangoni, mashuka yametota mito haifai godoro hilo ndo lilikuwa linatema maji tu kudadeki kuna watu ni kufuru, tulitafuta cover kwa dharula aiseeMuleba, ngara, karagwe, kyerwa, misenyi, mutukula, kyotera, masaka, lukaaya, kampala, mbarara, bwera, jinja, kisugo namwongo, hua zinawekwa zile cover either za leather au nilon ili kuzuia kuchafua magodoro kwani wanawake wa maeneo hayo hurusha na kutoa maji mengi wakati wa shughuli zao , hivo husaidia kutunza magodoro na hiyo sio loji tu hata nyumba za watu binafsi magodoro lazima yatunzwe namna hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakagua kama maji feni linapiga kelele?au wahudumu Wana kelele asubuhi wakati wa kusafisha vyumba??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna sehemu Mwarusembe Mkuranga ile Guest ukitaka kagua wanakwambia lipia kwanza ndo ukague.
Hebu fafanua nipate kuelewaaHotel , Lodge, Guest House, Motel, Rest House, park, kila kimoja hapo kina sifa zake na vigezo vyake sema sisi hujiandikia tu bila kujua
Afu dogo wala hajali ila niliharibu maji niliacha yakavuja usiku mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vinaponyoka mkononi, ikizama kwenye tundu la choo ndo mpaka ujikaushe uombe kingine ama upotozee
Hiyo namba 24 najiulizaga tv ya kazi Gani Sasa kama sina uwezo wa kuangalia channel nayoitaka?23. TV za chogo
24. Chaneli zinabadilishiwa reception
25. Lodge kuna paka
26.Sabuni za mche unakatika kakipande
27. Mwisho saa nne kukaa chumbani
Mkuu ume describe lodge za Mbagala, zile za self Bei elfu kumi.16. Vyoo vya kukaa vichafu
17. Kondom hamna
18. Mashuka hayafuliwi hata siku tatu
19. Sabuni ya kuogea hamna
20. Uvundo kama wote vyumbani
21. Maji hakuna
Mtwara hiyo, bossMkuu ume describe lodge za Mbagala, zile za self Bei elfu kumi.
Guest za karibu na Stend ya mabasi Singida...sinto sahau28. Kunguni kwenye kitanda