YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Jina kubwa humu jf kumbe unalala lodge za 20,000-30,000? Lazima upate haramufu ya shahawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina kubwa humu jf kumbe unalala lodge za 20,000-30,000? Lazima upate haramufu ya shahawa
Mic?Ubungo kuna hotel ya ghorofa zaidi ya tano ..unalipa elfu 60 lakini unakutana na mashuka hayajabadilishwa...tiles bafuni zina ramani ..n.k
haya mimi yamenikuta sanaSometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..
Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.
1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.
Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.
Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.
Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.
Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Huo ugomvi wangu usingepata suluhu 😂😂Mie niliingia saa kumi na mbili asubuhi,saa nne asubuhi wakadai muda wangu umeisha.
Aisee[emoji1787][emoji1787]Umeshalipa 15000/ unakutana na huu mseto[emoji116]View attachment 2655123View attachment 2655125
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapakosi Nyoka hapo
Bro ili tatizo lako binafsi .... unaendaje guest ya 5k - 7k usitegemee haya??16. Vyoo vya kukaa vichafu
17. Kondom hamna
18. Mashuka hayafuliwi hata siku tatu
19. Sabuni ya kuogea hamna
20. Uvundo kama wote vyumbani
21. Maji hakuna
Guest ya 2k hii kudadeki🤣🤣🤣Siku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
😀😀Hoteli gani Dodoma hizo mbaya ebu tutajie kama ni St Gaspar Hotel,Morena Hotel,NAM Hotel,Bestern Western City Hotel,Dodoma Hotel,African Dreams,Dear Mama Hotel,Golden Crown Hotel,Nashera Hotel au zipi😀😀😀Bora Dar.
Dodoma pana hotel mbaya sijawahi ona toka dunia imeumbwa
Ukotiwa lock up kwanza[emoji23][emoji23]Siku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.
Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.
Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.
Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
Nimefanya sana hivi kwa mwanza kikubwa ni kusema kabla hujalipa ili akikubali basi unatulia mazimaMaana ni tarehe uliyoingia na tarehe unayotakiwa toka, ila wengi huwa hawaandiki mtu anafika hotel saa 8 usiku eti saa 4 atoke
Siku yakikukuta utarudi hapa na ushuhuda[emoji3]Guest ya 2k hii kudadeki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiki kiingereza tukiache kando tumalize huu mjadala kwanza.Shida ni where I we inquire.. do we compassate to the situation and what was we been paid for the Accommodation and the shelter [emoji23][emoji1787]
Naongeza namba 12.Unaoga maji hayatoki kwenye kishimo cha kutolea maji machafu,unaanza kutembea kwa kuchuchumia...Sometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..
Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.
1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.
Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.
Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.
Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.
Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Ulisoma St. Kayumba mzee sio kosa lako na sample ya watu kama ninyi ndio mnaolipwa hela nzuri ila kutokana na tamaa zenu mnaenda kutafuta lodges za bei nafuu kuliko bajeti mliotengewa...Hiki kiingereza tukiache kando tumalize huu mjadala kwanza.
Siku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.
Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.
Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.
Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
Shalon ndio nin?Kama sio mic, kagame, kibadamo, shalon sijui