Wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyovimiliki

Wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyovimiliki

Jana nimeshuhudia uhai ulivo rahisi kutoka , wamegongana boda wawwili. Huku naona na wote wakafariki hapo hapo ! Yaani nimesikia kishindo paah nasogea. Nikaokoe jamaa ndo wanakata roho .
Ajali za boda boda kupona ni majaliwa
mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi 🙏 kwakweli tunafanya kazi ngumu sana....!
 
Shukuru Mungu kwa kupona.

Mwenzako mmoja wa Mawasiliano alifariki kwa ajali.

Mwingine wa hapohapo Mawasiliano amezikwa leo kwao Tanga baada koporwa pikipiki usiku wa manani, kuuawa na kisha kutupwa pori la Kongowe.

Pikipiki yake namba E haina hata mwezi. GPS iliyofungwa kwenye pikipiki ilisaidia kupatikana kwa chombo, watuhumiwa na hatimaye mwili wa huyo dereva.

Bodaboda mna changamoto nyingi sana!
 
Jana nimeshuhudia uhai ulivo rahisi kutoka , wamegongana boda wawwili. Huku naona na wote wakafariki hapo hapo ! Yaani nimesikia kishindo paah nasogea. Nikaokoe jamaa ndo wanakata roho .
Ajali za boda boda kupona ni majaliwa
Dah
 
Ajali isikie tu vile unakata moto unashuhudia lakni hata maji huombi, sema helement ni muhimu sana kwa bodaboda.
 
Shukuru Mungu kwa kupona.

Mwenzako mmoja wa Mawasiliano alifariki kwa ajali.

Mwingine wa hapohapo Mawasiliano amezikwa leo kwao Tanga baada koporwa pikipiki usiku wa manani, kuuawa na kisha kutupwa pori la Kongowe.

Pikipiki yake namba E haina hata mwezi. GPS iliyofungwa kwenye pikipiki ilisaidia kupatikana kwa chombo, watuhumiwa na hatimaye mwili wa huyo dereva.

Bodaboda mna changamoto nyingi sana!
dah... sijui tufanye kazi gani...japo changamoto ni sehemu ya maisha lakini changamoto za kazi ya boda boda ni nyingi na za kuogopesha sana...😭😭😭😭😭​
 
dah... sijui tufanye kazi gani...japo changamoto ni sehemu ya maisha lakini changamoto za kazi ya boda boda ni nyingi na za kuogopesha sana...😭😭😭😭😭​
Mimi pikipiki huwa ninaendesha kutoka lami kwenda shamba tu. Ila lami kwa lami hapana. Wahuni wengi njiani
 
Kwanza ni nani alithibitisha kwamba break za gari zina tatizo?

Siyo kwamba alikanyaga pedo ya mafuta kimakosa akidhani ni break na hatimaye gari kwenda hovyo?
kuna mtu alikuwa nae kwenye gari ndie alie sema...maana walikuwa wanajadiliana cha kufanya....pembeni ya barabara kulikuwa na watu wanaendelea na shughuli zao...si unajua Sinza africa sana ile barabara inayoingia kuelekea TRA panavyokuwa.

hivyo akaona bora aigonge bajaji maana angeilekeza gari kando ya barabara angechinja watu...sijui kama wametulisha tango pori au lah...!​
 
Back
Top Bottom