Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Usalama barabarani na kujifanya wanaangalia ubora wa usafiri, hamna kitu wanakagua kwa mwaka mara moja hao policeNdugu zangu jana nilipata Ajari na pikipiki yangu nikiwa na abiria wangu {pole sana boss lady hope unendelea vizuri} ajari hiyo niliipata pale Sinza africa sana...kuna gari ilipoteza break ikagonga bajaji, bajaji ikapoteza uelekeo nikajikuta nagongana nayo uso kwa uso.ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
View attachment 2840307
Ndugu zangu wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyo vimiliki kwasababu kama hainiingii akilini kuwa kama gari ina service nzuri Iferi break. jana nilikuwa nakichungulia kifo hivi hivi.
lakini namshukuru Mungu naendelea vizuri nilichubuka tu kidogo japo abiria wangu aliumia nae kidogoðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
hii imenifanya niiogope sana kazi yangu ya boda boda jana nimeiogopa sana pikipiki na barabara uendeshaji wangu ni wakistaarabu sana ila ndio hivyo bado nasababishiwa ajari...!
hata hivyo nimekumbuka kuwa huu ni mwisho wa mwaka matukio ya ajari huwa ni mengi...hivyo ndugu yangu msomaji kama huna umuhimu wa kusafiri ni bora tu ukae nyumbani hadi mwaka uishe...!
jana mwenzenu nilikichungulia kifo
Baada ya hapo ni mwendo wa rushwa tu
Huna break unatoa hela unaenda kufa mbele Safi sana ila wanauwa na wasiokuwa na hatia
Tumlaumu muomba rushwa au mtoaji au mwenye usafiri asiejali kuwekeza kwenye chombo chake
Kama hamuwezi kuvimudu gharama ya nini wananunua?
Huwa najiuliza sana