Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Pole! Upone haraka.
π€£π€£π€£π€£Umenifanya niangalie tena picha kumcheki huyo gongo
asante nitafanya hivyo...!Pole sana na hongera kwa kupona
Mkabidhi Bwana kazi zako na ratiba zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante sana ndugu yanguPole sana ndugu!
mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi π kwakweli tunafanya kazi ngumu sana....!Jana nimeshuhudia uhai ulivo rahisi kutoka , wamegongana boda wawwili. Huku naona na wote wakafariki hapo hapo ! Yaani nimesikia kishindo paah nasogea. Nikaokoe jamaa ndo wanakata roho .
Ajali za boda boda kupona ni majaliwa
Ajaliβ
Ajariβ
DahJana nimeshuhudia uhai ulivo rahisi kutoka , wamegongana boda wawwili. Huku naona na wote wakafariki hapo hapo ! Yaani nimesikia kishindo paah nasogea. Nikaokoe jamaa ndo wanakata roho .
Ajali za boda boda kupona ni majaliwa
Shukuru Mungu kwa kupona.
Mwenzako mmoja wa Mawasiliano alifariki kwa ajali.
Mwingine wa hapohapo Mawasiliano amezikwa leo kwao Tanga baada koporwa pikipiki usiku wa manani, kuuawa na kisha kutupwa pori la Kongowe.
Pikipiki yake namba E haina hata mwezi. GPS iliyofungwa kwenye pikipiki ilisaidia kupatikana kwa chombo, watuhumiwa na hatimaye mwili wa huyo dereva.
Bodaboda mna changamoto nyingi sana!
ni kweli jana nilikuwa nakufa huku najiona.... helmet imenisaidia sanaAjali isikie tu vile unakata moto unashuhudia lakni hata maji huombi, sema helement ni muhimu sana kwa bodaboda.
Mimi pikipiki huwa ninaendesha kutoka lami kwenda shamba tu. Ila lami kwa lami hapana. Wahuni wengi njianidah... sijui tufanye kazi gani...japo changamoto ni sehemu ya maisha lakini changamoto za kazi ya boda boda ni nyingi na za kuogopesha sana...πππππ
Pole mkuu,
chamsingi wewe na huyo mteja wako mpo hai...
harafu jamaa alie tugonga gari la kuazima...hana hata miaπππMimi pikipiki huwa ninaendesha kutoka lami kwenda shamba tu. Ila lami kwa lami hapana. Wahuni wengi njiani
Kwanza ni nani alithibitisha kwamba break za gari zina tatizo?harafu jamaa alie tugonga gari la kuazima...hana hata miaπππ
Kwanza ni nani alithibitisha kwamba break za gari zina tatizo?
Siyo kwamba alikanyaga pedo ya mafuta kimakosa akidhani ni break na hatimaye gari kwenda hovyo?